MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Wajinga ndani ya CCM mnaongezeka kwa kasiKazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile
najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa
Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Ukweli upi nawakati wakiwaambia muende mkaandamane hamtaki mnabaki kwenye keyboardkwa bahati mbaya, huu ndio ukweli mchungu.
Mnasema people's power,hizi story za dora unatoa wapi?Tukiwa na upinzani imara hao polisi sio kitu. Tuna upinzani wa ovyo ndio maana mnakuja na story za oooh polisi mara dora.Mwaka 2007 Dora ilitumika Kenya kuzima nguvu ya umma na ikashindwa na mwisho wakapata katiba mpya. Huku tuna upinzani unaoleta porojo za maridhiano mara oooh ccm inatumia dora. Dora si kitu kwa upinzani serious. Again,Mbowe na genge lake sio wapinzani tena na katu Hawawez kulivusha Taifa toka mikononi mwa nyang'au ccmKwa taarifa yako watu sio wajinga tena, ww zungumzia uoga na sio ujinga. Iwapo vyombo vya Dola vitaendelea kuamini ccm ndio chama chenye hati miliki ya nchi hii, basi ccm itaendelea kukaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya Dola.
Mbona mnasema Magufuli alikua anaua upinzani wakati tuliona akiwaalika akina Cheyo,Lipumba na wengine ikulu?Kwenye Positive mnaiweka Chadema kama ndio symbol ya upinzani ila kwenye negative mnaitoa mnataka wengine wawe includedVyama vya upinzani mbona vipo vingi , sio Chadema tu
Kama anayeniambia niandamane yupo serious, ntaandamana. Tumeandamana vyuoni mara kibao na hii ni kutokana na kuguswa na sababu za kuandamana na anayesema tuandamane tuliona kweli yupo sahihi. Ukiona umeitisha maandamano then muitikio mdogo jua hujafanikiwa kushawishi umma uandamane. Na kwa sasa Chadema hawana power ya kuandamanisha watu coz Raia hawawaelewiWananchi wapi hao
We ukiambiwa uandamane kuhusu bandari uko tayari au utakua nyuma ya keyboard
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Mbowe angekua mpinzani wa kweli asingekaa ndani miezi 8 na raia wakawa kimya tu.Kitendo cha raia kupuuza Mbowe kukaa ndani maana yake hawana imani naye. Hapo Kenya unafikiri Odinga anaweza kaa ndani hata siku 1 na Raia wakawa kimya?Ukweli ni kwamba Mbowe na genge lake hawana ushawishi tena wa kuleta mabadiliko Tanzania. Nenda Kenya kajifunze upinzani unavyofanya kazi.Watu wanapigwa na polisi, Rais anatia mikwara mara IGP lakini watu wanaandamana. Swala ni upinzani kuwa na ushawishi. Huwez kuwa na ushawishi kama unapuuza mambo ya msingi ya raia. Tunalala giza, upinzani upo kimya tu then kesho utegemee Raia wakuunge kutafuta tume huru ya uchaguzi we uingie madaraka hahahahhahNyie mnafanya nini zaidi ya uzinzi na ulevi tu? Meowed kakaa ndani miezi 8 huku wewe ukikesha na Malaya wa Buguruni na Kvant unataka wafanye nini zaidi? Shwaini!
Upinzani serious hauwez kandamizwa na dora. Au people's power maana yake nini?Una hoja....japo sio sahihi Sana.
Upinzani upo Ila umekandamizwa na dola.
Hawazungumzi sbb wameshazungumza Sana mmeziba masikio wacha yazibuliwe na MudaYupo sahihi CCM imechokwa na wananchi lakini wamekatishwa tamaana vyama mbadala. Kwa matukio ya Sasa kuanzia mfumko wa Bei, tatizo la umeme na mengineyo ni chama kipi kinayazungumzia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile
najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa
Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kama hawawaelewi msiwalalamikieKama anayeniambia niandamane yupo serious, ntaandamana. Tumeandamana vyuoni mara kibao na hii ni kutokana na kuguswa na sababu za kuandamana na anayesema tuandamane tuliona kweli yupo sahihi. Ukiona umeitisha maandamano then muitikio mdogo jua hujafanikiwa kushawishi umma uandamane. Na kwa sasa Chadema hawana power ya kuandamanisha watu coz Raia hawawaelewi
Upinzani serious lazima uwe na backup ya wananchiUpinzani serious hauwez kandamizwa na dora. Au people's power maana yake nini?
Nimeandamaana twice (95 na 2000). Acheni kubana vyombo vya habari kama mnajiamini.Watu gani wa kuandamana?wewe hapo?Hapo ulipo unajua fija huwezi andamana
Sawa lakini kama Lissu ataendelea kuwa chini ya Mbowe ataweza kufika potential yake.Achunge ulimi wake,mtu kama Lissu,ambaye hata JPM alitamani ampe cheo,lakini akawa haonyeshi hata dalili ya kuhongwa,leo hii umuweke kwenye calibre ya wanasiasa anaowasema Adv.,ni kumkosea.Kuna baadhi ya wanasiasa na vyama pia,lakini si wote.Lissu hata suala la kufanya maridhiano uchwara,hataki.Tuwape heshima yao,watu kama hao.
Pole mfuasi wa MboweKama hawawaelewi msiwalalamikie
Walalamikieni hao mnaowaelewa