Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.

Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile

najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa

Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Wajinga ndani ya CCM mnaongezeka kwa kasi
 
Kwa taarifa yako watu sio wajinga tena, ww zungumzia uoga na sio ujinga. Iwapo vyombo vya Dola vitaendelea kuamini ccm ndio chama chenye hati miliki ya nchi hii, basi ccm itaendelea kukaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya Dola.
Mnasema people's power,hizi story za dora unatoa wapi?Tukiwa na upinzani imara hao polisi sio kitu. Tuna upinzani wa ovyo ndio maana mnakuja na story za oooh polisi mara dora.Mwaka 2007 Dora ilitumika Kenya kuzima nguvu ya umma na ikashindwa na mwisho wakapata katiba mpya. Huku tuna upinzani unaoleta porojo za maridhiano mara oooh ccm inatumia dora. Dora si kitu kwa upinzani serious. Again,Mbowe na genge lake sio wapinzani tena na katu Hawawez kulivusha Taifa toka mikononi mwa nyang'au ccm
 
Wananchi wapi hao
We ukiambiwa uandamane kuhusu bandari uko tayari au utakua nyuma ya keyboard
Kama anayeniambia niandamane yupo serious, ntaandamana. Tumeandamana vyuoni mara kibao na hii ni kutokana na kuguswa na sababu za kuandamana na anayesema tuandamane tuliona kweli yupo sahihi. Ukiona umeitisha maandamano then muitikio mdogo jua hujafanikiwa kushawishi umma uandamane. Na kwa sasa Chadema hawana power ya kuandamanisha watu coz Raia hawawaelewi
 
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi

Chanzo: Swahili Times

Kwenye statement yake amedai vyama vya siasa na si vyama vya upinzani.
Umeweka kichwa cha habari ku fit narrative yako

On the otherside ni kweli vyama vya siasa including chama tawala na upinzani.
 
Nyie mnafanya nini zaidi ya uzinzi na ulevi tu? Meowed kakaa ndani miezi 8 huku wewe ukikesha na Malaya wa Buguruni na Kvant unataka wafanye nini zaidi? Shwaini!
Mbowe angekua mpinzani wa kweli asingekaa ndani miezi 8 na raia wakawa kimya tu.Kitendo cha raia kupuuza Mbowe kukaa ndani maana yake hawana imani naye. Hapo Kenya unafikiri Odinga anaweza kaa ndani hata siku 1 na Raia wakawa kimya?Ukweli ni kwamba Mbowe na genge lake hawana ushawishi tena wa kuleta mabadiliko Tanzania. Nenda Kenya kajifunze upinzani unavyofanya kazi.Watu wanapigwa na polisi, Rais anatia mikwara mara IGP lakini watu wanaandamana. Swala ni upinzani kuwa na ushawishi. Huwez kuwa na ushawishi kama unapuuza mambo ya msingi ya raia. Tunalala giza, upinzani upo kimya tu then kesho utegemee Raia wakuunge kutafuta tume huru ya uchaguzi we uingie madaraka hahahahhah
 
Yupo sahihi CCM imechokwa na wananchi lakini wamekatishwa tamaana vyama mbadala. Kwa matukio ya Sasa kuanzia mfumko wa Bei, tatizo la umeme na mengineyo ni chama kipi kinayazungumzia?
Hawazungumzi sbb wameshazungumza Sana mmeziba masikio wacha yazibuliwe na Muda
 
Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.

Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile

najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa

Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio muheshimiwa, nakupata vema.
 
Kama anayeniambia niandamane yupo serious, ntaandamana. Tumeandamana vyuoni mara kibao na hii ni kutokana na kuguswa na sababu za kuandamana na anayesema tuandamane tuliona kweli yupo sahihi. Ukiona umeitisha maandamano then muitikio mdogo jua hujafanikiwa kushawishi umma uandamane. Na kwa sasa Chadema hawana power ya kuandamanisha watu coz Raia hawawaelewi
Kama hawawaelewi msiwalalamikie
Walalamikieni hao mnaowaelewa
 
Achunge ulimi wake,mtu kama Lissu,ambaye hata JPM alitamani ampe cheo,lakini akawa haonyeshi hata dalili ya kuhongwa,leo hii umuweke kwenye calibre ya wanasiasa anaowasema Adv.,ni kumkosea.Kuna baadhi ya wanasiasa na vyama pia,lakini si wote.Lissu hata suala la kufanya maridhiano uchwara,hataki.Tuwape heshima yao,watu kama hao.
Sawa lakini kama Lissu ataendelea kuwa chini ya Mbowe ataweza kufika potential yake.
 
Back
Top Bottom