Hajamjua vizuri Slaa...Anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Hao wapinzani ni akina nani? Na hao wananchi ni akina nani? Nini tofauti kati yao?Upinzani inataka maslai ya wananchi yawe mbele.Leo wananchi tunalia peke yetu utasema hatuna upinzani. Ukweli lazima usemwe, hatuna upinzani bali genge la wahuni
Anzisha chama Cha upinzani kifanye upinzani kwa mtazamo wako. Hao wapinzani wakifanya unachosema sio ndio mnakimbilia humu kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa kwa uchu wa madaraka?Mnasema people's power,hizi story za dora unatoa wapi?Tukiwa na upinzani imara hao polisi sio kitu. Tuna upinzani wa ovyo ndio maana mnakuja na story za oooh polisi mara dora.Mwaka 2007 Dora ilitumika Kenya kuzima nguvu ya umma na ikashindwa na mwisho wakapata katiba mpya. Huku tuna upinzani unaoleta porojo za maridhiano mara oooh ccm inatumia dora. Dora si kitu kwa upinzani serious. Again,Mbowe na genge lake sio wapinzani tena na katu Hawawez kulivusha Taifa toka mikononi mwa nyang'au ccm
Huko kujimilikisha ndio ukubwa ninao uzungumziaDude kubwa kwenye nini?.labda kupora mali za umma na kufisadi nchi.Kama ni hivyo sawa.ila Ccm haina ukubwa wowote zaidi ya kujimilikisha serikali iliyorithi toka uhuru.
Anzisha chama Cha upinzani kifanye upinzani kwa mtazamo wako. Hao wapinzani wakifanya unachosema sio ndio mnakimbilia humu kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa kwa uchu wa madaraka?Mnasema people's power,hizi story za dora unatoa wapi?Tukiwa na upinzani imara hao polisi sio kitu. Tuna upinzani wa ovyo ndio maana mnakuja na story za oooh polisi mara dora.Mwaka 2007 Dora ilitumika Kenya kuzima nguvu ya umma na ikashindwa na mwisho wakapata katiba mpya. Huku tuna upinzani unaoleta porojo za maridhiano mara oooh ccm inatumia dora. Dora si kitu kwa upinzani serious. Again,Mbowe na genge lake sio wapinzani tena na katu Hawawez kulivusha Taifa toka mikononi mwa nyang'au ccm
Hao wananchi wao wamekufa wanasuburiwi kusemewa tu? Hao wananchi wakiambiwa Leo wajitokeze kushinikiza tatizo la umeme lipatiwe ufumbuzi wa kudumu, si ndio husema wanajali amani kuliko umeme?Upinzani inataka maslai ya wananchi yawe mbele.Leo wananchi tunalia peke yetu utasema hatuna upinzani. Ukweli lazima usemwe, hatuna upinzani bali genge la wahuni
Mwenyekiti aache kulinda mahusiano na watawala waliomuwezesha kukomba malimbikizo ya ruzuku ya 2 billion kwa sababu Tanesco wanaboresha miundombinu ?Anzisha chama Cha upinzani kifanye upinzani kwa mtazamo wako. Hao wapinzani wakifanya unachosema sio ndio mnakimbilia humu kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa kwa uchu wa madaraka?
Kama wanafanya wanavyotaka na nyie wananchi mmeridhia msiwalaumu chadema ambao mnawaita matapeliMazombi km nyie ndio mtaji wa wanasiasa matapeli.
Hakuna upinzani Tanzania wote matapeli tu,
Ndio maana Ccm wanafanya wanavyotaka. Upinzani ulikuwepo angalau 2005-2015.
Hii nchi ina watu wa hovyo sana chadema wameaanza kufanya mikutano ya hadhara wanalaumiwa wanatukana, wanataka wananchi waandamane hawataki, wamekaa kimya ni kosa, mbowe katuhumiwa kwamba ni gaidi wananchi kimya sasa chadema wanalaumiwa kwa lipiAnzisha chama Cha upinzani kifanye upinzani kwa mtazamo wako. Hao wapinzani wakifanya unachosema sio ndio mnakimbilia humu kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa kwa uchu wa madaraka?
Hao wananchi wao wamekufa wanasuburiwi kusemewa tu? Hao wananchi wakiambiwa Leo wajitokeze kushinikiza tatizo la umeme lipatiwe ufumbuzi wa kudumu, si ndio husema wanajali amani kuliko umeme?
Walikuja kuuzima Kiaina. Fuatilia yote, walivyojikita tu na 255, pakavurugika, pakaja mambo ya Udini, Uzanzibari, mara "special interest' halafu ikawa 'nyie wapinzani'-ndio mnaoleta fyoko fyoko. Yote kuzima mijadala ya Bandari na DPW.Nilishangaa sana kwanini ule moto wa bandari Chadema walikua nyuma nyuma sana?Watu wanapewa kesi ya UHAINI wao wapo wapo tu,mtu aseme Chadema ni chama cha SIASA?No,hili ni genge la wahuni.
Sawa.lakini kukiondoa chama madarakani should be a process angalau ya 10 years. Unaanza na kuwa na wabunge wengi ,then ndipo unaipata Kura nyingi za uraisi!!huwezi kusema utachukua Nchi bila ya kuwa na wabunge wengi"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.β β Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Lakin wanaishi kwa maumivu makali sana mioyoni mwaoWatanzania sio manyumbu wa kurndeshwa kwa mihemko ya siasa za kikabila kama Kenya , Watanzania wana imani na serikali ya CCM ndio maana hata aje mtu gani hawezi kuwashawishi watanzania waandamane wavuruge amani, hata akifufuka mwendazake awaambie waandamane hatapata watu labda huko kwao Chato
Mabadiliko sio swala la chadema acha uzwazwa ni swala la kila mtu mfano umeme unavyosumbua unasumbua kwa watu wote bila kujali ni chadema, hauna chama au ccmWalikuja kuuzima Kiaina. Fuatilia yote, walivyojikita tu na 255, pakavurugika, pakaja mambo ya Udini, Uzanzibari, mara "special interest' halafu ikawa 'nyie wapinzani'-ndio mnaoleta fyoko fyoko. Yote kuzima mijadala ya Bandari na DPW.
Sasa wanawatolea nje Kina Dr Slaa!
Hakuna nchi yoyote isiyokuwa na changamotoLakin wanaishi kwa maumivu makali sana mioyoni mwao
Hivi kwa nini Slaa na Mwabukusi wasiungane na kuunda chama cha siasa kama kweli wana agenda ya maana?Walikuja kuuzima Kiaina. Fuatilia yote, walivyojikita tu na 255, pakavurugika, pakaja mambo ya Udini, Uzanzibari, mara "special interest' halafu ikawa 'nyie wapinzani'-ndio mnaoleta fyoko fyoko. Yote kuzima mijadala ya Bandari na DPW.
Sasa wanawatolea nje Kina Dr Slaa!
Naunga mkono hoja ππ"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.β β Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Sijakataa walikuwa na Agenda. Na sijasema kulikuwa hakuna Agenda za Maana.... Nimezungumzia The Original campaign ya 255 ambayo walikuwa nayo na agenda zote, mfano Katiba Mpya, Maridhiano, Tume ya Uchaguzi n.k n.k lakini ikabuma and that is a fact.Unaangalia mambo kwa namna mbaya unayoitaka wewe.kama ukuona agenda za maana zilizozungumzwa kwenye ile mikutano wewe ndiye utakayekua na shida sio chadema.ndo maana Umeangaika na porojo za watu badala ya agenda ndo maana ukaondoka na porojo ukaacha mambo ya msingi.
Ndo wanachotakiwa wafanye hakuna aliyewakatazaHivi kwa nini Slaa na Mwabukusi wasiungane na kuunda chama cha siasa kama kweli wana agenda ya maana?
Mwenyekiti aache kulinda mahusiano na watawala waliomuwezesha kukomba malimbikizo ya ruzuku ya 2 billion kwa saba
Ruzuku gani boss, huo uchafu nayo ni ruzuku?Mwenyekiti aache kulinda mahusiano na watawala waliomuwezesha kukomba malimbikizo ya ruzuku ya 2 billion kwa sababu Tanesco wanaboresha miundombinu ?
Tuachane na Kamanda Mbowe, wewe ungekuwa na fursa kama yake ungetishia usalama wa ruzuku ya Chama kwa sababu ya tanesco?
Unajua ccm kamwe hawawez ruhusu katiba nzuri na bora, na tume huru sababu wakikubali tu ndo mwisho waoSijakataa walikuwa na Agenda. Na sijasema kulikuwa hakuna Agenda za Maana.... Nimezungumzia The Original campaign ya 255 ambayo walikuwa nayo na agenda zote, mfano Katiba Mpya, Maridhiano, Tume ya Uchaguzi n.k n.k lakini ikabuma and that is a fact.
Hii ya pili wakaja kuongezea Okoa bandari! Lakini badala ya kuokoa Bandari, kitu ambacho kilikuwa na vuguvugu kubwa sana, wao wakazima, wakaanza kugombana na kaburi. That is a fact.
Ndugu, sijahangaika popote ndugu, taarifa na habari zote zimo hapa hapa JF. Kubali tu yaishe.
Na kama hutaki, nitajie hayo mambo ya msingi niliyoyaacha ili niweze kuangalia kwa namna nzuri Please. Tunaelimishana
Hayo maswali kuhusu kuundwa kwa Chama ni mazuri Ukiwauliza Daktari Slaa au Mwabukusi.Hivi kwa nini Slaa na Mwabukusi wasiungane na kuunda chama cha siasa kama kweli wana agenda ya maana?