Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mbowe kachoka sana. Na hata alipokuwa na nguvu, uwezo wake wa kuongoza ulikuwa mediocre sana. Sema wanazi wa CDM hawataki kukubali huu ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuiamini CCM basi mnawaongelea ongelea nini fisimaji nyie?Mbowe angekua mpinzani wa kweli asingekaa ndani miezi 8 na raia wakawa kimya tu.Kitendo cha raia kupuuza Mbowe kukaa ndani maana yake hawana imani naye. Hapo Kenya unafikiri Odinga anaweza kaa ndani hata siku 1 na Raia wakawa kimya?Ukweli ni kwamba Mbowe na genge lake hawana ushawishi tena wa kuleta mabadiliko Tanzania. Nenda Kenya kajifunze upinzani unavyofanya kazi.Watu wanapigwa na polisi, Rais anatia mikwara mara IGP lakini watu wanaandamana. Swala ni upinzani kuwa na ushawishi. Huwez kuwa na ushawishi kama unapuuza mambo ya msingi ya raia. Tunalala giza, upinzani upo kimya tu then kesho utegemee Raia wakuunge kutafuta tume huru ya uchaguzi we uingie madaraka hahahahhah
Tukisema Ccm ni dude kuuuuubwa huwa hatukoseiKwa maneno hayo naona anaweza kupewa Kasi ya kijani wakati wowote.
Kuna vyama wanawindwa kama swala porini halafu yeye amekuja juzi TU anajitia anataka kuikomboa nchi..
Sasa akitoka Mbowe pale kuna nini kama sio kugawana mbao za jahazi ?Mbowe kachoka sana. Na hata alipokuwa na nguvu, uwezo wake wa kuongoza ulikuwa mediocre sana. Sema wanazi wa CDM hawataki kukubali huu ukweli.
Lissu kua chini ya Mbowe,sidhani kama inamzuia asionyeshe potentiality yake,we angalia Mbowe kakaa na mama kwenye suala la maridhiano,Lissu alivyoona ni mazingaombwe,akalipuka... akasema hayana maana.Angekua mwingine,angehofia reaction ya mwenyekiti.Sawa lakini kama Lissu ataendelea kuwa chini ya Mbowe ataweza kufika potential yake.
Inamzuia sana unless huelewi vyama vya siasa vya Tanzania vinafanya kazi kwa muundo upi.Lissu kua chini ya Mbowe,sidhani kama inamzuia asionyeshe potentiality yake,we angalia Mbowe kakaa na mama kwenye suala la maridhiano,Lissu alivyoona ni mazingaombwe,akalipuka... akasema hayana maana.Angekua mwingine,angehofia reaction ya mwenyekiti.
Mtamalizana sasa, kumbe ndo zenu."Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Lis ni mbwabwajaji tu.Lissu kua chini ya Mbowe,sidhani kama inamzuia asionyeshe potentiality yake,we angalia Mbowe kakaa na mama kwenye suala la maridhiano,Lissu alivyoona ni mazingaombwe,akalipuka... akasema hayana maana.Angekua mwingine,angehofia reaction ya mwenyekiti.
Watu wote wa maana walioweza kufanya kazi nzuri wameondoka sababu ya mwenyekiti kung'ang'ania madaraka. Waliobaki ni ndiyo mwenyekiti.Sasa akitoka Mbowe pale kuna nini kama sio kugawana mbao za jahazi ?
alipokuwa Mahabusu uliona Luna lolote la maana walilofanya waliokuwa uraiani zaid ya design tishert za picha ya Mbowe
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kuna ukweli ndani ya maoni yake."Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Naongezea.Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.
Akili zako zinafikiri maandamano yanaweza kukukomboa, poor brain, maandamano ni upuuzi na kuharibu taifa hasa yule mnaetaka aondoke atakapokomaa, what's follow up!, dumb!Wakiitisha maandamano mtatoka?au mnataka Mbowe na familia yake wawapiganie mkiwa kwenye keybord? Wajinga nyie
CCM hamna kitu mule mnatumia njia za kishamba za kutumia vyombo vya usalama hadi mnajikuta mnaanza kupambana na raia wa kawaida na taasisi za kidini na siyo wanasiasa tena.
Ruzuku ndiyo mpango mzima, sasa ikikosekana amani kutakuwa na ruzuku?Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile
najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa
Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Upinzani serious lazima uanze kutengeneza backup ya wananchi na hii ni kwa kuzungumza mattz yanayowagusa wananchi direct. Ni maajabu leo tuna shida ya umeme lakini upinzani uko busy kuwaambia tunataka tume huru, unafikiri watapata backup yoyote toka kwa wananchi?Mwanasiasa serious Anaweka maslai ya wananchi mbele then kidogo kidogo anachomekea agenda zake.Sasa hawa wa kwetu daily wako busy na agenda zao za kutaka washinde uchaguzi.Upinzani serious lazima uwe na backup ya wananchi
Sio kila anayepinga Chadema ni ccm,wengine tumechoshwa na ufedhuri wa ccm lakini tukiangalia upinzani tunaona hawana la maana.Endeleeni kuiamini CCM basi mnawaongelea ongelea nini fisimaji nyie?