Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Wewe unaogopa kufa? Unajua wewe utakufa lini na kwa mateso gani?
 
ndomana Hii kesi kumbe wote pale mawakili hairisho wote vilaza

Job mrema nae ndo nn
 
Utamnyosha mama yako mzazi. Uwezo wenyewe huna wewe ni sawa na nguruwe unayesubiri kuchinjwa! 🤣
Sicheki kama wewe ila within 6 months ntaufufua huu Uzi Ili ujue, kuwa bongo Kila mtu ni rahisi kumfikia
 
Reactions: UCD
Huyo wakili kilaza acha kumpa airtime humu, huyu siku zake zinahesabika. Stay tuned.
 
labeika ustaadh.
katik kaz niliwaza sana kuzihepa ni pamoja na law. mtihan mzito kwa alkhera
Ni kote mkuu vipi tukiongelea kazi ya askari polisi kwa sasa, vipi wakurugenzi
 
Huyo wakili kilaza acha kumpa airtime humu, huyu siku zake zinahesabika. Stay tuned.
Akili anazo ila anahitaji kufinywa kidogo akae sawa hata kama anapokea maelekezo anaonesha anayafurahia , anaongea kwa kujivuna
 
Atekeleze kwa haki. Ila kama ni kwa kutumwa, sio sawa. Anapanda laana na mikosi kwa familia yake.
 
Wewe acha kutishia watu nyau. Kwani wewe unajiona ndo uko salama salimini kwa kutumia hiyo ID fake hapa JF?
Kwanza jifunze kiswahili, neno sahihi hapo ni "ahirisho", siyo 'hairisho' kama ulivyoandika!
Tunakumbusha huyo shemeji yAko katugA
 
Ng'ombe wa mama mna matatizo sana, unaandika kwa kuwakebehi mabeberu halafu hao hao kesho mama yenu anaenda kutega bakuli wampe msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…