Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

Kwani ile ripoti nani ataijali ?!.
Mh mwenyewe katoa maelekezo utafikiri anaomba badala ya kuelekeza !! Ile itakaliwa kama ripoti za tume nyingine.
 
Do you know what is plea bargaining? Kuna makosa of lesser charge unakubali na mengine yanafutwa. Sasa Peter alikubaliana nini nakutimiza masharti yapi ? Imekula kwake
 
Hatujawahi kuwa na rais dhaifu na mnafiki kama huyu mnamuita "nani kama mama". Look! Hypocrisy is written all over her many plastic faces. Alishawaambia anajua kupuliza hamkumuelewa! Hiyo report ni danganya toto kwa wamangaribi. Anataka kumuiga jakaya lakini kwa vile ni kilaza hawezi kuficha udhaifu wake! Draconian dictator!
 
Hivi Rostam alichozituhumu mahakama zetu ndicho kilichofanyika?
 
Mbinu batili za kuwazuia watanganyika wasidai bandari zao walizopewa waarabu milele, Samia ni mwongo na msaliti mkubwa sana kwa watanganyika, na ni kiongozi dhaifu pia, kwani anachokisema hakitekelezwi na watendaji wake na hawafanyi kitu.
nidhaifu kwa kuwa kawafungulia uhuru wa kumtukana
 
Sasa Madeleka anaweza kuwa mjinga kuropoka that much wakati ajamalizia kulipa? Atakuwa mpumbavu wa karne

Huyo ni mjinga kama Mbowe tu, wanafikiri kesi ya jinai huisha bila kuhukuiwa. Hawaelewi kuwa kesi ya jinai, hata Rais akikusamehe, sheria bado inaweza kukushitaki.
 
Ile rapoti ilikuwa ni furahisha genge. Hakuna uwezekano ile ripoti kutekelezwa chochote, maana ikitekelezwa itakuwa mwisho wa CCM kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Huyo ni mjinga kama Mbowe tu, wanafikiri kesi ya jinai huisha bila kuhukuiwa. Hawaelewi kuwa kesi ya jinai, hata Rais akikusamehe, sheria bado inaweza kukushitaki.
Sio sheria, sema amri kutoka juu. Ama unadhani hatujui sheria zinafanya vipi kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…