Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

Sio sheria, sema amri kutoka juu. Ama unadhani hatujui sheria zinafanya vipi kazi?
Endelea kuota tu, unafikiri serikali inatunga sheria ijikandamize? Labda serikali ya malaika magu, imetunga sheria za madini ikajiminya yenyewe.
 
Itabidi kuangalia upya vigezo vya polisi. Badala ya kuifanya kazi ya polisi kuwa ni kazi ya watu wenye uwezo mdogo wa akili iwe ni kazi ya watu wenye upeo mkubwa, weledi na watu wenye akili ya kutosha.

Mkiwa na polisi wasiojitambua wanaweza kuifanya nchi kuonekana ni ya ajabu.
Ile ripoti ya haki jinai ya juzi ni usanii mwingine wa kula hela za umma tu
 
Wadau tunapaswa kulijadil jambo kiuhalisia wake

Classmate aliingia makubaliano ya plea bargain na DPP kutokana na kesi yake ya kitambo kidogo

Lkn baada ya kutoka akaongea na wadau kishkaj wakamlia buyu

Tunapaswa kuelewana kwenye mkataba na DPP classmate anadaiwa na hicho ndicho kinachomgharim
 
Anadaiwa laki 2 alishindwa vipi kulipa.
Laki 2 au jela miaka 3.
 
Hawa mawakili wanasiasa ukiwamata ndio unawabrand wanafanya makusudi ili kutengeneza jina.
Uwakili ni jina na umaarufu.
Mcheki Kibatala ana kula brand tu kwa sababu Magu alimbrand pindi anakamata chadema.
Hizi ni strategies tu za utoke vipi kimaisha.
 
Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,

Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

Taarifa zaidi kukujia

========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati ya DPP na PETER MADELEKA. Hata hivyo RCO ARUSHA ametuma ASKARI WANIKAMATE nikiwa Mahakamani. Bado sijatoka Kwa JAJI.

Baadhi ya kauli zake kuhusu sakata la bandari

1. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari
2. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine
3. Wakili Madeleka ataka Jaji Biswalo achunguzwe suala zima la Plea Bargain
Mpaka sasa sijaelewa kwa nini mahakama imefuta plea bargain yake je, ni ameshindwa kulipa kwa kadiri ya makubaliano? Au ameshindwa kutimiza masharti mengineyo kama yalikuwepo kwenye makubaliano? Na je atashitakiwa na kuhukumiwa kwa mashitaka Yale Yale ya mwanzo? Kama ndivyo je kukiri kwake kwa DPP na mahakama ikakubali si itatumika kama ushahidi dhidi yake? Msaada tafadhali
 
Ukweli ndio huu hapa
@PMadeleka alifanya plea bargain halafu karudi kuichallenge tena kama haikuwa voluntary. Ameshinda kesi na plea bargain kufutwa so kesi inaanza upya ya kwake

Haku calculate vizuri strategy yake and he chose the wrong time to challenge this
 
Sawa. Yeye ni wakili atajitetea.
 
Endelea kuota tu, unafikiri serikali inatunga sheria ijikandamize? Labda serikali ya malaika magu, imetunga sheria za madini ikajiminya yenyewe.
Kwahiyo inatunga sheria ili ikandamize wananchi?
 
Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,

Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

Taarifa zaidi kukujia

========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati ya DPP na PETER MADELEKA. Hata hivyo RCO ARUSHA ametuma ASKARI WANIKAMATE nikiwa Mahakamani. Bado sijatoka Kwa JAJI.

Baadhi ya kauli zake kuhusu sakata la bandari

1. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari
2. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine
3. Wakili Madeleka ataka Jaji Biswalo achunguzwe suala zima la Plea Bargain
Naona ule mwendo wa amri kutoka juu anataka kurudi tena.
 
Hakuna mahakama Tz
Mahakama ni kichaka cha kutesa watu lakini ipo siku walio ndani watakuwa nje na walio nje watakuwa ndani.
Ndoto za Elinacha hizo!

Dual ya kuku haiwezi kumpata mwewe

Mnashindwa kuelewa kwamba Madereka aliji comaind mwenyewe?
 
Mpaka sasa sijaona muandishi anayechambua nini chanzo au sababu ya hii hukumu! Kesi hii imesikilizwa toka lini? Ilihusu kosa gani na aliifungua nani? Nini maana ya maamuzi ya hukumu hiyo? Madeleka alikuwa Mahakamani maana yake alienda mwenyewe akijua ni siku ya hukumu kutolewa, kama mwanasheria mbobezi alijiandaaje?
 
Back
Top Bottom