Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sio hana adabu, sema hajinyenyekezi kwa serikali ya majizi ya kura.Acha akafie jela, Hana adabu kwa serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hana adabu, sema hajinyenyekezi kwa serikali ya majizi ya kura.Acha akafie jela, Hana adabu kwa serikali
Endelea kuota tu, unafikiri serikali inatunga sheria ijikandamize? Labda serikali ya malaika magu, imetunga sheria za madini ikajiminya yenyewe.Sio sheria, sema amri kutoka juu. Ama unadhani hatujui sheria zinafanya vipi kazi?
Ile ripoti ya haki jinai ya juzi ni usanii mwingine wa kula hela za umma tuItabidi kuangalia upya vigezo vya polisi. Badala ya kuifanya kazi ya polisi kuwa ni kazi ya watu wenye uwezo mdogo wa akili iwe ni kazi ya watu wenye upeo mkubwa, weledi na watu wenye akili ya kutosha.
Mkiwa na polisi wasiojitambua wanaweza kuifanya nchi kuonekana ni ya ajabu.
police wakipewa agizo la mwanasiasa toka juu la kujiua watatii?Police hawana kosa wao wanatii maagizo ya wanasiasa toka juu.
Huyo ni mjinga kama Mbowe tu, wanafikiri kesi ya jinai huisha bila kuhukuiwa. Hawaelewi kuwa kesi ya jinai, hata Rais akikusamehe, sheria bado inaweza kukushitaki.
Mpaka sasa sijaelewa kwa nini mahakama imefuta plea bargain yake je, ni ameshindwa kulipa kwa kadiri ya makubaliano? Au ameshindwa kutimiza masharti mengineyo kama yalikuwepo kwenye makubaliano? Na je atashitakiwa na kuhukumiwa kwa mashitaka Yale Yale ya mwanzo? Kama ndivyo je kukiri kwake kwa DPP na mahakama ikakubali si itatumika kama ushahidi dhidi yake? Msaada tafadhaliWakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,
Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
Taarifa zaidi kukujia
========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati ya DPP na PETER MADELEKA. Hata hivyo RCO ARUSHA ametuma ASKARI WANIKAMATE nikiwa Mahakamani. Bado sijatoka Kwa JAJI.
Baadhi ya kauli zake kuhusu sakata la bandari
1. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari
2. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine
3. Wakili Madeleka ataka Jaji Biswalo achunguzwe suala zima la Plea Bargain
@PMadeleka alifanya plea bargain halafu karudi kuichallenge tena kama haikuwa voluntary. Ameshinda kesi na plea bargain kufutwa so kesi inaanza upya ya kwakeUkweli ndio huu hapa
@PMadeleka alifanya plea bargain halafu karudi kuichallenge tena kama haikuwa voluntary. Ameshinda kesi na plea bargain kufutwa so kesi inaanza upya ya kwakeMpaka sasa sijaelewa kwa nini mahakama imefuta plea bargain yake je, ni ameshindwa kulipa kwa kadiri ya makubaliano? Au ameshindwa kutimiza masharti mengineyo kama yalikuwepo kwenye makubaliano? Na je atashitakiwa na kuhukumiwa kwa mashitaka Yale Yale ya mwanzo? Kama ndivyo je kukiri kwake kwa DPP na mahakama ikakubali si itatumika kama ushahidi dhidi yake? Msaada tafadhali
Sawa. Yeye ni wakili atajitetea.Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,
Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
Taarifa zaidi kukujia
========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati ya DPP na PETER MADELEKA. Hata hivyo RCO ARUSHA ametuma ASKARI WANIKAMATE nikiwa Mahakamani. Bado sijatoka Kwa JAJI.
Baadhi ya kauli zake kuhusu sakata la bandari
1. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari
2. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine
3. Wakili Madeleka ataka Jaji Biswalo achunguzwe suala zima la Plea Bargain
Kwahiyo inatunga sheria ili ikandamize wananchi?Endelea kuota tu, unafikiri serikali inatunga sheria ijikandamize? Labda serikali ya malaika magu, imetunga sheria za madini ikajiminya yenyewe.
Naona ule mwendo wa amri kutoka juu anataka kurudi tena.Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha,
Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
Taarifa zaidi kukujia
========
Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati ya DPP na PETER MADELEKA. Hata hivyo RCO ARUSHA ametuma ASKARI WANIKAMATE nikiwa Mahakamani. Bado sijatoka Kwa JAJI.
Baadhi ya kauli zake kuhusu sakata la bandari
1. Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari
2. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine
3. Wakili Madeleka ataka Jaji Biswalo achunguzwe suala zima la Plea Bargain
Ndoto za Elinacha hizo!Hakuna mahakama Tz
Mahakama ni kichaka cha kutesa watu lakini ipo siku walio ndani watakuwa nje na walio nje watakuwa ndani.
Maigizo yale na wewe unatilia maananiSi juzi kushinda jana tu imepokelewa ripoti ya haki jinai, mbona hivi tena aisee!
Mtu anachotakiwa kuchunga sana ni asiwe juu ya sheria,siyo hayo unayosema weweAlivyokuwa anajiamini utadhani yeye yuko juu ya serikali
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Iko ukurasa wa ngapi kwenye Ilani yenu huko cccmKwa kukufahamisha tu uboreshwaji wa bandari upo kwenye ilani ya chama tawala. Maswala ya uzanzibari na propaganda za mkabila Mbowe yamegonga mwamba 🙂