Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Sasa Magufuli kamuua nani?Hatuwezi ruhusu Magufuli kuua watu wetu apendavyo eti kwa sababu Jamal aliuwawa na Saudi Arabia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Magufuli kamuua nani?Hatuwezi ruhusu Magufuli kuua watu wetu apendavyo eti kwa sababu Jamal aliuwawa na Saudi Arabia.
Una ushahidi lini kaua watu wako au unabwabwaja tu!!Hatuwezi ruhusu Magufuli kuua watu wetu apendavyo eti kwa sababu Jamal aliuwawa na Saudi Arabia.
Achana na huyo mbumbumbu.Sasa Magufuli kamuua nani?
Joined Sep 12, 2020, njaa inakusumbua kwanini usiingie na jina lako la kawaida>CCM watakojoa maharage
Huyu jamaa Jiwe asimchukulie poa,
What is CV by the way? Bro. don't confuse education with intelligence. You can have a degree and still be an idiotYeye ana dili na wateja wake, sasa kama hakuna mteja wake ataendaje kudili na Saudia?
Huyu msimchukulie poa, kasome CV yake kwanza
Ni jina langu hiloJoined Sep 12, 2020, njaa inakusumbua kwanini usiingie na jina lako la kawaida>
Wewe dogo tulia sindano iingie vizuri.Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikilwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Hana lolote huyo! Hapa kwetu ameshachemka. Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo ataijua TZ vizuri.
What is CV by the way? Bro. don't confuse education with intelligence. You can have a degree and still be an idiot
Ukiambiwa The Hague unatetemeka, kweli wacha Watanzania muendelee kuwa watumwa kwenye nchi yenu kama ndio kipimo cha ujinga ni hiki.Hawajielewi hao ujue amsterdam anafile kesi moja kwa moja The Hague
Hawajielewi hao ujue amsterdam anafile kesi moja kwa moja The Hague
Una ushahidi lini kaua watu wako au unabwabwaja tu!!
Sasa Magufuli kamuua nani?
Basi na wewe atakua! Au vipi?Kaua yes
Sasa Magufuli kamuua nani?
Huna lolote wewe vuvuzelaNdo maana mnapanga kuiba kura? Sasa ibeni muine kitakacho fuata, msichukulie poa
Mnaweka nadharia kwa sababu ya matatizo yenu. Huko ndio kuropoka.Unazani mpaka aue kwa mikono yake? Kwani hao wakina Mussolini waliua kwa mikono yao? Jiwe ana damu za watu na zitamtesa sana
Hujui waliouawa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU? Jiongeze Mkuu acha KUBWETEKA. Kauli za MUUAJI hazijifichi.