Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Ni kweli matokeo ya uchaguzi yalitoka kabla kwamba Mwabukusi kashinda wakati hata kura hazikupigwa.
Kama kura zilikuwa hazijapigwa hayo hayawezi kuitwa matokeo ya uchaguzi bali uvumi. Pia mbona uvumi wa nani kashinda na nani kashindwa uwa upo siku zote kwenye kipindi cha chaguzi zote hata kabla kura hazijahesabiwa. Uvumi ndiyo uhalalishe jambo?
 
Hakuna aliyetangaza Ushindi wa kura kabla ya Uchaguzi..

Kura zimeanza kutangazwa idadi kuanzia saa mbili usiku hiyo ni baada ya kukamilika kwa kuhesabiwa kwa Kura saa moja jioni
Hayo machapisho yaliyofanyika mitandaoni sio kutangaza huko.

Au unafikiri kutangaza ni mpaka mtu ashike mic 🎤 aongee.
 
Kamanda Nkuba apewe support uchanguzi urudiwe
Kama alipata kura mia nane ajiandae kupata kura mia tatu uchaguzi ukirudiwa.
Atapata Kura chini ya Hapo mkuu hakuna atakayekubali kuharibu kura yake kaona uchaguzi wa kwnza alishashindwa..
Hapo statistically atapata Kura chini ya hapo zinaweza zikawa 100 au 200 tu
 
t
Kamanda Nkuba apewe support uchanguzi urudiwe
Kama alipata kura mia nane ajiandae kupata kura mia tatu uchaguzi ukirudiwa.
tena 800 za mawakili wa serikali walio hongwa billions of money, wakiondolewa hao, basi anabaki na may be na ya kwake tu!
 
Ndi
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.

Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.

"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba

Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.

View attachment 3060290
Ndio fisiemu walivyomtuma
 
Hayo machapisho yaliyofanyika mitandaoni sio kutangaza huko.

Au unafikiri kutangaza ni mpaka mtu ashike mic 🎤 aongee.
Kusema fulani kashinda hiyo inafanyika kila mara Na mimi ninao uwezo wa Kumsifia Mgombea wangu...

Hujui sheria za Uchaguzi??
Machapisho maana yake ni kuendelea kusifu mgombea wangu na wala haiharibu matokeo Official
 
Ni uhuru wake. Ajaribu kuukwea huo mlima.
 
Back
Top Bottom