Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Uniqueness ya uchaguzi huu wa TLS tofauti na chaguzi zingine zote hapa Tanganyika ni kuwa wapiga kura wake wote wana degree walau kuanzia moja na kuendelea hivyo sio rahisi Sana kuburuzwa.

Huyu kama alitegemea kuiuza TLS baada ya kuchaguliwa imekula kwake. Kama ni kazima sana basi akajiuze yeye mwenyewe mbona soko lipo.
 
Kusema fulani kashinda hiyo inafanyika kila mara Na mimi ninao uwezo wa Kumsifia Mgombea wangu...

Hujui sheria za Uchaguzi??
Machapisho maana yake ni kuendelea kusifu mgombea wangu na wala haiharibu matokeo Official
Unasifu kwa kutoa namba za kura kabisa?
 
Hoja zake ni dhaifu sana.
1. Kuhusu karatasi kwisha na kwenda kushapishwa nyingine, yeye alitakaje? Uchaguzi ufutwe? Wengine wasipige kura?
2. Kufanyiwa vurugu. Alifanyiwa vurugu na nani? Kabla ya kupigwa kura, wakati wa kupigwa kura, baada ya kupigwa kura? Na yeye kufanyiwa vurugu kunaathiri vipi matokeo ya huo uchaguzi?
3. Matokeo kusambaa mitandaoni kabla ya kutangazwa. TLS inawezaje kuwajibika na hilo? Na kwa vipi kusambaa huko kumeathiri matokeo ya uchaguzi huo?
 
Kwanini haya matakataka yanayojiita ccm hua hayapendi kukubali kushindwa, kwanini hua yanadhani kwamba wao pekee ndio wana haki ya kua viongozi na si wengine
 
Nimemsikiliza ila hoja ya Pili kuwa matokeo yalianza kutangazwa huko nje kwenye mitandao
Nimjulishe tu kuwa, watu kwa asilimia 90% walimpa nafasi mwabukusi hivyo, alichokisikia ni kuwa watu hutoa machapisho ya kuhisi ili kupata viewer na wala sio kweli matokeo yalitoka

Angekuwa anafuatilia mitandao ya jamii angejua hiyo ni kawaida
Fuatilia mpira wa timu kama Yanga na mtimbwa, mpira hata hauja anza una anza kuona machapisho kama, yanga yaifunga mtibwa tatu bila nk nk nk ni kawaida

Hiyo hoja ya kuongeza karatasi kwa waliokosa alitakiwa aseme ili adhirije matokeo; mfano zilichapishwa nyingi? nk nk kwani kuiweka tu hivyo inaweza kuwa ni hoja ila sioni kama ina uzito wa kubatilisha matokeo

MIMI SIO MWANASHERIA!
 
Wasomi huwa wanaita "De minimis non curat lex" Kasoro ndogo ndogo haziwezi kubatilisha mchakato mzima.Mzee wa section 4 for life😀
 
Tumemuongezea kura 300 Bado tunamzidi kwa kura 100 kwahyo akae kwa kutulia.
 
Hiki kijamaa Kilikuwa Kimekwisha Jiandaa kupinga uchaguzi Kabla haujafanyika
 
Back
Top Bottom