Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Hii nchi ina mambo ya kijinga sana eti ushindi wa Rais ni dhambi kupingwa mahakamani shenzi sana.
 
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.

Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.

"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba

Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
Bora unyamaze tu, uchaguzi ukiitishwa upya jamaa atakutupa mbali zaidi ya hapo. Bora ungetulia na kura zako hizo kidogo zina ahueni!. Hivi hujasoma tu alama za nyakati hata hao wapiga kura walivyoshangilia ushindi wa Mwabukusi, wakirudia tena, hata wale waliokupigia watafanya maamuzi magumu!!! 😀
 
Wakili Msomi Nkuba,achana na mambo ya kwenda Mahakamani,mwenzio alijiandaa na kujibrand muda mrefu..kaa chini ,tafakari ,jiandae upya..jaribu tena

Labda USHAURI wa mwisho,ACHA kuchangamana na CCM, hiki chama hakikubaliki mbele ya watu walioelimika...CCM ni kama SHETANI,haikubaliki kwa mambo yake yote
 
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.

Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.

"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba

Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
Mbona hizi hoja zake zote hazina mashiko? Ama kweli mfa maji haachi kutapatapa.
 
Jina lake linasadifu akili zake. Mwanaume mzima ataitwaje Sweetbert?
 
Yaani duniani hapa kuna watu kutafuta vyeo ni zaidi ya kila kitu. Wanaona bila kuwa kwenye cheo fulani hawaoni kama kuna maisha. Mwisho wake ni frustration tu, Kwani lazima wewe ndo ushinde. Tujifunze kuridhika tunaposhindwa.
 
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.

Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.

"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba

Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.
😀😀😀pandikizi
 
Attachments

  • 20240803_075438.jpg
    20240803_075438.jpg
    101.5 KB · Views: 1

Pandikiza hili....pesa za upande uleeee anajifanya hana cha kupoteza
 
Ni kweli matokeo ya uchaguzi yalitoka kabla kwamba Mwabukusi kashinda wakati hata kura hazikupigwa.

Muhimu ni matokeo rasmi
Hata uchaguzi mkuu speculations ni kawaida maana huwezi kuzuia maoni au utabiri wa wananchi aka maoni, ila muhimu ni official results. Kisheria ni hoja dhaifu sana.
 
Mtazame na msikilize mwenyewe👇👇

Sababu zake ni kwamba, kulikuwa na uchakachuaji wa kura na kisha matokeo.

Kwa nilivyomsikiliza, allegations zake ziko based ktk sababu kuu tatu hizi👇

1. Kamati ya uchaguzi ilitangazwa matokeo kwa kushinikizwa na wapiga kura.

##Sijui Kuna ubaya gani?

2. Kutangazwa matokeo kwenye mitandao hususani ule Twitter X masaa mawili nje ya utaratibu kabla ya matokeo rasmi kutangazwa na kamati ya uchaguzi

##Na hili sijui kwake lina ubaya gani. Maana kama matokeo ni hayohayo, shida inakuwa ni nini?

3. Anasema kuna dalili kuwa baadhi ya mawakala waliingia na simu za mkononi na hivyo kuwa na mawasiliano na watu wa nje kinyume na kanuni za uchaguzi. Hawa muono wake ndiyo anaowa - suspect kuwa waliovujisha matokeo kabla ya kutangazwa.

##Kuuliza si ujinga. Hivi huyu jamaa ndiye anaweza kuwa Moja ya mapandikizi ya CCM aliyetumwa aje kugombea na serikali kufanya kila njia ashinde huku ikimkata kila aina ya mitama Adv. Mwabukusi asije karibie kiti cha rehema?

##Inafurahisha sana kuona kuwa kumbe CCM wanaweza ku - feel maumivu ya kushindwa kihalali kwa namna hii. Maana sura na body language ya jamaa hapa, inaonesha wazi ambavyo yuko very depressed & heartbroken kwa hiki ambacho likely hawakukitarajia yeye na kambi yake!

##Sijui hata kama wanayajua maumivu ya kushindwa kwa kunyang'anywa ushindi halali kwa nguvu kama alivyofanyiwa CHADEMA na Tundu Lissu 2019 na 2020 respectively
 
Hataruhusiwa huyu kunguni wa mfumo kushika hii nafasi nyeti! Akaribia kwa pilato akutane na magwiji wa kisheria akina Ruge Nshalla PHD, TAL, Jebra, Kibatala nk
 
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.

Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Nkuba amesema ameshawasiliana na wanasheria wake ili kwenda kupinga ushindi wa Mwabukusi mahakamani.

"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba

Katika uchaguzi huo uliofanyika Jana na matokeo yake kutangazwa usiku, Wakili Nkuba alizidiwa zaidi ya kura 400 na mpinzani wake Wakili Mwabukusi ambaye alitangazwa kuwa mshindi.

View attachment 3060290
Nenda kwa pilato! uone hata mkeo hajakimbia! tutakutesa na kukuacha uchi mtandaoni nyang'au wewe!
 
Ningemuona wa maana kama agekuja na hoja za irregularities katika uchaguzi huu eg non-members kupiga kura, kura kutohesabika au baadhi ya members kuzuiwa kupiga kura. Lakini eti jamii ilispeculate matokeo kabla ya official announcement naona ni sababu za kiwango cha chini kwa mwanasheria kama yeye.
 
Back
Top Bottom