Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja yenye mshikamano bila kujali tofauti zetu za kiitikadi.

Katika kufanikisha hayo aliamua kuja na nguzo nne za uongozi wake ambazo ni Uvumilivu, Ustahamilivu, Maridhiano na Kujenga Upya.
 
yuko sahihi Serikali ya Rais Samia Suluhu inalinda inalinda usalama wa Raia wake sio kama zamani matukio ya watu wasiojilikana yamepotea kabisa
 
Amejieleza kwa sababu nyepesi mno halafu zote za kike kike tu , sijui anakwama wapi huyu mteule wa kundi maalumu la viongozi wenye sifa sifa.
 
Back
Top Bottom