Wakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga

Haya yote yanatokea kwa sababu utopolo sio wana michezo bali kundi la wahuni waliobahatika kupata pesa .

Kwani yanga haiwezi bila Fei?Kama jibu sio,kwa nini kumkomalia kijana aliyewapa heshima uwanjani mara nyingi badala ya kumwacha aende kutafuta malisho ya kijani sshemu nyingine?Ama mpeni japo milioni 16 ili atulie kuliko kumlazimisha acheze kwa milioni 4 tu wakati Aziz analipwa milioni 25 kwa mwezi.

Huko utopoloni watu wenye akili ni wawili tu ila nao si viongozi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 

Kabisa solution ni kwamba Azam wakae mezani na Yanga SC wamalizane nao wamchukua Feisal wao.
 
Mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu, angevumilia kidogo tu mambo yaishe
 
WATANZANIA MUNGU KAMA YUPO ANAWAONA.
 
Nani amekwambia yanga anamng'ang'ania feisal? Alafu mbumbumbu kama wewe unawapangiaje yanga namna ya kuendesha mambo yao na wachezaji wao? Uyo feisal kama mnamuhurumia sana mwambieni afate utaratibu ataondoka ata kesho, mbona wahuni wanakwepa kuleta ofa zao wakapewa thamani ya fei wakauziwa? Kwanini wanajificha si wajitokeze kama wana pesa, wanataka mteremko wapuuzi hao safari hii wamegonga mwamba na iwe fundisho kwa wengine bullsheet!
 
Una tatizo lakutoelewa haraka ndugu!!, Ili Fifa ikupe hiyo options inategemeana na tatizo lako la msingi ni lipi!!. Kuongezeawa mshahara haijawahi kuwa tatizo la msingi kwa mchezaji tena Fifa sijui CAS watamfukuza😅.., yaani eti aende akasema nataka kuvunja mkataba kwakuwa wamekaataa kuniongezea mshahara??. Mane alitaka waongezewe mshahara na timu yake liver wakagoma, lakini mane bado alikuwa mtiifu na kuendelea kutumika Kama mchezaji wa liver, amesubir mkataba wake umeisha ameondoka...... Huyu mtoto ambaye hajacheza hata ligi ya Kenya ndio aisumbue CAS?. Tz tunachangamoto ya wanasheria wa mpira ndio maana wanampoteza....
 
Wewe tayari umeshahukumu alafu mwisho unatuambia tukapitie mkataba wa yanga 😀
 
Hata atoe hela yake yote hawezi kushinda. Sheria haiko upande wake. Na usidhani kwamba unaweza ukapindisha sheria kwa fedha. Wanaodhanigi ukiwa na hela unaweza ukapindisha sheria hawajui sheria.

Ishu ya Morrison haifanani na ya Fei Toto. Morrison mkataba wake na Yanga ulikuwa haujakaa vizuri ndo maana akashinda. Lakini mkataba wa Fei Toto umenyooka.
 
Kama hayuko tayari kurudi Yanga basi ana options zifuatazo:

1. Akatafute shughuli nyingine ya kumuingizia kipato mpaka mkataba wake na Yanga utakapokwisha.
2. Akacheze mpira wa ridhaa.
3. Amuombe huyo anayemrubuni aongee na Yanga ili Yanga imuuze. Yanga ikipewa mzigo wa maana inamwachia Fei Toto.

Kwenye kanzidata ya mawakili wa Tanzania, hakuna wakili anayeitwa Salum Nduruma. Ndo maana dogo anaingizwa machaka.
 
Kama huko kwenu wanaondoka kiholela ni nyie huku kwetu kuna utaratibu
 
Kama huko kwenu wanaondoka kiholela ni nyie huku kwetu kuna utaratibu
Kushindwa kuona hoja za Fei ni lazima uwe na roho ya kichawi.
Nawatahadharisha kuwa kuna wachezaji wengine wazawa wanaumia jinsi mnavyomchukulia Fei muda huu,na wanawaona hamna maana.
Subirini siku yenu ambayo maji mtaita "mma"

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Fei anaenda kupotea kisoka....kama ilivyokuwa kwa mwenzake R. singano..same scenario....bichwa likiwa kubwa kwa sifa.....matokeo yake......
 
Hana hoja kwa maana alishaingia mkataba. Hivi wenzetu mnatumia matako kufikiri??
 
Kwan mkataba wa fei na aziz ki uko sawaa? Fei ametumia kipengele ktk mkataba wake. Sasa tatizo nn? Mbna utaratibu wenyewee hawausemi ni upi wadau wa michezo waka tathimini??
 
Naelewa ndiomaana nikacomment hivyo.[emoji1535]

Utani wenu nmeshuhudia kwa muda sasa[emoji1].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa yaan. Sema sometimes navukaga mipakaa had namkeraaa, uwiiiiiiiiiih
 
Kwan mkataba wa fei na aziz ki uko sawaa? Fei ametumia kipengele ktk mkataba wake. Sasa tatizo nn? Mbna utaratibu wenyewee hawausemi ni upi wadau wa michezo waka tathimini??
Rudi kasome kanuni na sheria za FIFA kuhusu kuvunjwa kwa mkataba.
Hivyo ndivyo vipengele anavyapaswa kufuata.
Usisumbue watu
 
Fei hakukurupuka kuvunja mkataba, lazima kuna external force. Aache kupenda Kitonga, aje na hao waliomshauri, waweke dau wasepe nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fei kwa utashi wake kaamua kutumia kipengele cha mkataba wake kuvunja, na katoa stahiki zotee kulingana na makubaliano ya mkataba.

Mnaanza oooh watu wajitokezee, watu gan? Malizaneni na fei kwan, hakuna watu nyuma yake, yeye kaamua aondokee aelekee anakojuaa yeye mnaanza mbambamba,

Kumbe mnatakaa pesa za watuuuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…