Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

Wananchi wanaotuhumiwa kufanya uhaini tangu wakamatwe zaidi siku tano zilizopita wamekataa kula hadi wapelekwe mahakamani lakini hawapelekwe kwa kiburi tu cha polisi. Wakifia mikononi mwao au kudhurika kwa namna yoyote kabla ya kufikishwa mahakamani watawajibika..

Ni wazi kabisa waziri mambo ya ndani, IGP, DCI, DPP, AG na waziri habari wameshindwa kazi badala yake wanafanya kazi ya kuvizia kisiasa kwa chuki binafsi kukomoa wengine.
 
Ni heri wafe na njaa make hawana maana, rais anajitoa kuleta maendeleo wao kutwa nzima kuhamasisha mapinduzi.
 
Mama awasamehe kwasababu wana familia zinazowategemea
Mama akilisamehe lile dokta uchwara sisi tutaandamana hadi ikulu kuomba lirudishwe tena ndani.

Lile ndo limewashawishi na kuwalaghai wenzake kwamba wakifanya mapinduzi na kuwa raisi litamteuwa mwabukusi kuwa jaji mkuu wa Tanzania na mdude atapewa cheo cha kusimamia askari magereza ili alipe kisasi kwa waliompa kipondo jela enzi za Magufuli.
 
wamegoma wenyewe kula watakuwa wamejiua
 
wawalaumu waliowatuma kufanya uchochezi, kujenga, chuki, kupandikiza ubaguzi na kutoka maneno ya uhaini. Eti Mwabukusi ana mishono, alikuwa hajijui afya, mara Slaa ni mzee, ndio mmejua umri wake akiwa mahabusu? Wacha watambue kuna serikali wanatakiwa kuiheshimu na kutii sheria bila shuruti
 
kuna mtu amewanyima kula? Wanatakiwa waongezewe shitaka la kutaka kujiua kwa kukataa kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…