Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao Ili waweze kupelekwa mahakamani na haki iweze kutendeka.

Akizungumza na waandishi wa habari Wakili Philip Mwakilima amesema bado kumekua na vikwazo kwa watuhumiwa Balozi Dkt Wilbroad Slaa, Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali, kufikishwa mahakamani licha ya kukaa zaidi ya siku tano mahabusu tangu walipokamatwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Pamaoja na hayo Wakili Mwakilima amemuomba Rais Dkt Samia kuingilia kati kwa kutoa amri ya watu hao kufikishwa katika vyombo vya utoaji haki Ili waweze kutoa hakiyao ikiwemo ya matibabu kutokana na wateja wao kua na maradhi mbalimbali.
Joto la chaguzi za 2024 na 2025 linazidi kupanda na kushuka. Kwa maandalizi ya awali tu tunaliona Jeshi la Polisi likianza kutumika ili kukibeba kwa mbelko chama tawala.
 
Mi nitaendelea kuwatafutia chakula watoto wangu na mimi, mambo ya uzalendo na kufia nchi hapana.
Kila mtu apigane vita yake mwenyewe
 
Tuhuma za uhaini ni nzito. Hawa watuhumiwa kabla ya kesi kiu taratibu watakaa stoo miaka 10 kavuu.
 
Watake kumpindua Rais afu wanamuomba rais huyo huyo kuingilia kati? Wonders shall never seize. Wanajikaanga kwa mafuta yao.
YkCUF you!
Maana wewe ni zao la gesti house!
 
Kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi, hata wakipinduliwa ni sahihi.
Serikali ya dk Samia iko active, waambie waende wakafanye huo upumbavu kwenye serikali zilizo lala huko magharibi.
 
Serikali ya dk Samia iko active, waambie waende wakafanye huo upumbavu kwenye serikali zilizo lala huko magharibi.
Tulia ww, serikali ya majizi ya kura iko active kwenye nini? Ingekuwa active bandari ingewashinda? Au wakiwakomoa wakosoaji wasio na silaha ndio unaona ni kuwa active?
 
Watake kumpindua Rais afu wanamuomba rais huyo huyo kuingilia kati? Wonders shall never seize. Wanajikaanga kwa mafuta yao.
Kama umendandia treni kwa mbele hivi!!!watu wamekamatwa kinachotakiwa wapelekwe mahakamani sasa,hao hao viongozi wa juu wanaosimamia haki wanajichanganya unategemea nini?;!na hiyo ni kutokana kusubiria maelekezo badala ya kufuata utaratibu wa kisheria .MIAFRIKA TUNA LANAAAA
 
Utake kunipindua afu unarudi kuniomba msaada, hata mimi lazima nikupige spana hadi uombe poo 🛠️
 
Tulia ww, serikali ya majizi ya kura iko active kwenye nini? Ingekuwa active bandari ingewashinda? Au wakiwakomoa wakosoaji wasio na silaha ndio unaona ni kuwa active?
Majizi yaliyopo bandarini dawa yake ni DP world ndomana yameinunua chadema na njaa kali wengine akina babu padre slaa na huyo wakili uchwara wapige propaganda za kupinga uboreshaji wa bandari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom