Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

Mmmh
Mwabukusi ameomba wapi
 
Leo ndio mnatuambia mwabukusi ana mishono mwilini mbona hamkusema tangu mwanzo wakati anapambania Tanganyika yake?
Hiyo mishono mbona haikuwahi kuonekana hapo kabla.
Au ipo sehemu ya siri? Na kama ipo sehemu ya siri basi nina wasi wasi na marinda yake.

Hili ni funzo kwa vijana wanaokimbilia kutumiwa na wanasiasa uchwara, mwisho wa siku wanasiasa wanakaa pembeni kuangalia mtu akishonwa mishono sehem za siri.
 
Ni mambo ya aibu hawana hata hoja ya msingi ya kuwakamata na ndio mana wanashindwa wawafanyeje,Mahakamani wameshindwa kuwapeleka pia yaani hovyo sana

Sijaona sehemu yoyote Mwabukusi akesema au akipendekeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano ipinduliwe na kama kuna mtu anabisha awake angalao Clip hapa

Msikilize mheshimiwa anasema nini juu ya mwananchi wa kawaida (mimi na wewe) juu y a ufahamu wa uhaini
 

Attachments

  • VID-20230817-WA0097.mp4
    2.2 MB
🀣🀣🀣🀣🀣 Huyu si alisema hatishwi,nyama ndio zitaumia ila dhamira Iko pale pale na kwamba tutamjua yeye ndio Mwambukusi Mwakanyamale Sijui nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimecheka kama mjinga Hadi watu wamenishangaa.

Mwambieni hiyo ni trailer ,mkanda wenyewe Bado ,kesi Yao inaweza ahirishwa hadi 2027 🀣🀣
 
Huyu Wakili amepoteza mwelekeo na kukata pumzi mapema.
 
Huyu Wakili ni kama Mtibwa Sugar tu
 
Njaa ikiwauma watakula tuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanasiasa walioko madarakani ndio chanzo cha machafuko kwa kutaka kung'ang'ania madarakani baada ya kuchokwa kutokana na unyanyasaji wananchi waliowapa madaraka
 
Midomo mirefu yakiwakuta ndio akili zinakaa sawa.

Si walisema wanaenda mahakamani watolewe imekuwaje tena, sasa hivi wanaomba.
Hadi wewe umewageuka? Aisee Duniani hakuna rafiki 🀣🀣🀣🀣
 
Siku 5 tu mnaomba msamaha hivi hii miaka 9 kama uamsho si mtafia mahabusu nyie.
Rugemalira ndio alikuwa mwamba na wale Jamaa wa Uamsho.

Miezi 7 Mbowe alikuwa kachakaa kama anachoma Mkaa na hapo alikuwa VIP ,Je angekuwa Kwa akina mie ingekuaje?

Ndio maana Lisu aliona anataka kukamatwa Huwa anasepa zake Ulaya πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…