Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Tulia bahari imetulia Mungu kaamua ugomvi
 
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.

Aombe chenchi ya rambirambi iliyobaki Chaltle
 
Nashauri TCRA wailazamishe mitandao kublock hiyo namba kupokea hela, huyu jamaa kwa aliyoyafanya plus alimdharau sana mama kipindi akiwa VP sasa awe ndio ubao wa mafunzo
 
Mpaka sasa ameshachangiwa zaidi ya millioni 10
 
Nadhani watapata hela nzuri tu cos wengi mtaani wanaamini ametolewa kafara na watawala, jeiefu na mitandaoni huko nje ndiyo ambao hawawezi kuchanga.......ila ukipita huko nje kwenye maisha ya kawaida tu.......watachanga
 
Yeye ndiye alitaka kumuua Mbowe. Umesahau siku ya uchaguzi alivamia hoteli ya Mbowe na silaha, Bora Mbowe alikuwa hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…