Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Kesi bado nyingi sana paka maji aite mmaMbona Mbowe ni katili na muuaji na bado alichangiwa. Najua wachaga wote mmeungana kumshughulikia Sabaya ila hakika atawashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi bado nyingi sana paka maji aite mmaMbona Mbowe ni katili na muuaji na bado alichangiwa. Najua wachaga wote mmeungana kumshughulikia Sabaya ila hakika atawashinda.
Tulia bahari imetulia Mungu kaamua ugomviHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Pesa ni za serikaliHuyu gaidi sabaya sii ana zaidi ya billion 2 kwenye Account kwanini wasiende wakachukua huko
Ukitoka kwenye system umetoka kabisarafiki zake akina makonda, le mutuz, mrisho gambo, jerry muro, mnyeti, Jokate wako wapi wamsaidie?
We jamaa...[emoji3][emoji3][emoji3]Alitaka kuuwa Sabaya
Aombe chenchi ya rambirambi iliyobaki ChaltleHali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.
Ebu lets habari kamili, alimuua nani?Wakati anaua na kuteka mbona hakuomba michango?
Sabaya alimuua nani na alimteka nani?Mbowe alimuua nani na aliteka wapi?
Mbona wewe hujapelekeka kesi ya sabaya Kuwa mtu?Kwa ushahidi upi? peleka kesi mahakamani au Sabaya afungue kesi dhidi ya Mbowe
ameshahamishiwa moshiMakonda yupo Arusha. Atamfikia jamaa yake.
Khaa! Kwani bado ipo?Aombe chenchi ya rambirambi iliyobaki Chaltle
Kila mbuzi anatakiwa kula kwa urefu wa kamba yake.rafiki zake akina makonda, le mutuz, mrisho gambo, jerry muro, mnyeti, Jokate wako wapi wamsaidie?
Mchango wangu ni kumtafta fauzia nimpe dinaAchangiwe tu mbona Mbowe alichangiwa?
Wewe ndio wajaribu kujipa uwezo huo.Umelazimishwa?