Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Duhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Ha ha ha mmoja nilikuwaga naye.. Ilikuwa story za mtoto wake kila muda na kisirani juu..
Kweli inataka moyo wa chuma!!
 
Hii comment nimeichukulia kama motivational speech.
 
Wanakera hata unajuuta kwa nini ulijitosa, kibaya zaidi unashindwa kujitoa kwa sababu ulimtoa mahala fulani ukamuhamisha na kumpangia sehemu ambayo sasa unawajibika moja kwa moja, mkizozana kdg utasikia, mi mwanangu ufanye hivi, au we mwanangu shika kanauli uende shule, we mwanangu nisaidie kitu fulani, halafu hata umsomeshee, umlishie huyo mwanae anenepe kama puto, bado ata demand more and more, especialy akigundua umempenda sana ni hatari na mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment nimeichukulia kama motivational speech.
Kweli kabisa mkuu! Hawa wadada masingle mother mpaka anakuwa na mtoto lkn yuko single huwa wanakuwa wamepitia vipindi vigumu sana! Kwa hiyo huwa wanajihisi kama kuna kitu wamekosea sana na pengine hata kaa aolewe tena.

Sasa akimpata mtu anaemjali yeye na mwanae, aisee atamuhehimu na kila utacho mwambia anakubali. Kikibwa wewe mthamini tu basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…