Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kabisa....mimi nimeachana naye wiki iliyopita kwa mambo hayo hayo.
Mdomo au gubu sijui, kulalamika,lawama, mizinga kibaya zaidi mtoto anamiaka 6 amedekezwa anadeka mpk anatia hasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu even me nilielewa and tulikua tunpendana na nika m assure kwamba nitawalea yeye pamoja na mwanae ila sitaki communication na baba yake hapo ndio kizaa zaa kilipoanza...Mara sijui mtoto Ana haki ya baba yake Mara baba yake itabidi sijui amsomeshe
 
kwa kweli kwa hali ya sasa inasikitisha kila nyumba yenye watoto wa kike sita wakubwa inawezekana kuna single mother mmoja, kwa kawaida linapokuja suala la mahusiano anaye husika ku control future ya mahusiano ni mwanaume...hivyo ni vyema tuingie kwenye mahusiano tukiwa na malengo sio starehe ya mgegedo
pata picha una dada then anaachiwa mtoto amlee alafu baba wa mtoto anakula bata tuwe wanaume wa kweli tusiendekeze uvulana kwenye mambo serious kama malezi ya watoto, mwanaume wa kweli analea watoto na mama wa watoto wavulana wanatia mimba alafu wana kimbia malezi FEEL PROUD KULEA WANAO ILI WAJE KUJIFISIA KUWA WANA BABA SIO mvulana fulani aliyempa mimba mama yao.

na nyie wanawake acheni mambo ya kitoto kwenye mambo serious unawezaje kumtegeshea mimba mwanaume kwa kigezo kuwa atakuoa na hili pia sababu nyingine ya nyie kuachiwa watoto. na wazazi mjitahidi kuwarudisha watoto kwenye msingi wa malezi bora huenda ikasaidia.
 
Inatafakarisha sana hii kitu.Watoto wetu wa kike tuwapatie elimu nzuri hata ikitokea kakutana na kijana wa kiume asiye jitambua aweze kujihimili.kimaamuzi na uwezo wa uchumi.Tulipokuwa vijana tuliona yote sawa.Kumbe si kweli asilani,abadani!
 
Wengine Walipata Watoto Bila Kutaka Kuishi Na Mwanaume, Wanawake wenye uwezo wa kiuchumi hawahitaji sana kuolewa ila kuzaa wanataka, wanazaa na yeyote wanayetaka awape mimba. wanajua wakizaa watalea wenyewe.
 
Huo ni upepo tu mi naona siku hizi imekuwa kama fashion hivi wasichana wanapenda watoto sana.

yaani unaweza mwanaume unadate na msichana unamwambia kabisa kwasasa sitahitaji mtoto bado sijajipanga ila utashangaa miezi miwili tu ya kudate anakwambia baby sijaona siku zangu baada ya siku moja anakwambia imenasa ukiwa mkali ukamwambia mbona umezingua tena nilikwambia nn?

Atajiliza hapo weee na kususa juu badae utaona sms tu.. " kama utaki hii mimba mm nitalea mwenyewe ila sitaki uje unitafute its over btn us"..

Basi kidume kwa kuwa upendi lawama unampetipeti tu hivyo hivyo ila kwa kuwa hukuwa umejipanga ngoma inakuwa ngumu kutoka na changamoto za kuanzisha familia ni nyingi unaamua kukaa pembeni upambane kwanza.

Hiyo ndio sababu ya masingle Mother kuwa wengi siku hizi usituonee sisi wanaume jamani wanawake wanasababisha haya wakidhani ni rahisi rahisi tu kisa ameona kwa mwenzie huko au kamuona staa fulani anazaa tu na wao wanaona ni fashion kuzaa tu.
 
Kama dada yangu yuko chini yangu kazalishwa halafu jamaa linakula bata ubatani sipati shida,tunakwenda tunamkabidhi mtoto wake na mimi narudi home na dada yangu,mchezo kwisha,
 
Single mother?? hivi kuna double Mother?

Aliyeileta hii lugha nani?
 
Mwanamke yeyote single mother hawezi kuolewa na mwanaume asiyejitambua au kuolewa na mvulana
Kweli halafu hawa wavulana ni waoga wa maisha wanachokimbia sio single mother wanakimbia majukumu ni wakina uchebe hawa ila mi naona mwanamke ni mwanamke akikupenda mkapendana weka ndani watoto lea

Sent using tekino
 
Kuna ile fashion ya mjamzito kupiga picha huku amelishikilia tumbo lake likiwa wazi halafu picha zinatupiwa instagram, nahisi pia kwa kiwango kikubwa ilisababisha ongezeko la masingle mother.
Dada zetu wanapenda sana fashion hakyamungu.

Maendeleo hayana chama
 
Wewe huna mtoto why upo Interested Na mwenye mtoto?kuna Agenda gani ya siri.(japo hakuna ubaya ila kwa jinsi ulivyoisisitizia kwenye heading yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…