Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mkuu unadharau sana,humu ndani kila siku tubasema achana na single.mom hata awe mzuri vipi, hata awe na tabua gani unue kuna tabia moja mbaya ilimshinda Bwana wake wa kwanza weqe hata uwe malaika hutaiweza sana sana tu uvumilie kukaa naye kwa maumivu.

Umesema ni mbishi anajifanya anajua kila kitu halafu hana kazi yoyote. Dunia ina mambo.
 
Mungu anakuita kwa njia hio mkuu,labda baadae utatafuta mtoto usimpate..lol
 
Ok, nikwamba wee ulianza kumhudumia ili akupe Uchi.

Umepata Uchi sasa unaona kila kitu tayar na kuendelea kumhudumia ni ulofa.


Usitafute sababu ya kuhalalisha hali yako.
 
Mkuu unachofanya unakosea. Wakati mnaanza mapenzi mlikaa na kukubaliana nae na unapoona hamueezani muagane mdogomdogo. Kaeni chini mmalize tofauti zenu kama kuachana basi mtoe conclusion wote. Hicho ufanyacho ni utoto na ulimbukeni kwa kukosa busara. Kuachana si Vita. Na ukute umepata mwingine unasingizia anachat na baba mtoto. Kwani wakati mnaanza ulidhani ni Maria huyo? Baba mtoto kama yu hai lazima awasiliane na mama kwa vyovyote.
 
Tatizo kaniganda kama kupe,hataki kuniacha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona story yako kama yangu, au ndo haka kademu portable hapa mtaani kana mtoto wa miaka 2na ushee?
Na mimi nilizoeana nako. Nilianza hivi.
Alinisalimia kwa sms "mambo" nikamjibu "poa uko vizuri" akaniambia "najisikia vibaya na sina hela ya kwendea hospitali"
Mi nikamtumia elfu 10 ndo nikawa kama nimelianzisha,
" ukipata mda njoo home basi"
Maana alikuwa ameazima geto kwa jamaa ambaye anasoma chuo, geto lilikuwa halikaliwi na mtu, hivyo akawa anaishi hapo kama kulilinda.
Basi nikawa nimeenda, akanipa mgegedo japo siku enjoy sana, ana viungo sio flexible, kila nikimkunja mapaja nipenye deeper anakuwa ana resist, basi nikajipigia bao nikasepa, nikamuahidi kumhudumia mtoto wake, sasa badala ya kumhudumia mwanae akaona labda ananikoleza na mgegedo wake ambao hauna ladha, matatizo yake yote ni solve mimi, nikamwambia sasa nakusaidia mara ya mwisho. Basi ndo hadi leo hata salamu hamna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi aache kumganda mtu ili upate pesa za bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Et Maria [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shenzy kabisaa
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…