Ni mwezi mmoja sasa tangu nimekutana na huyo single mom,mwanzoni nilimwona kama ana adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kilipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,
Sent using
Jamii Forums mobile app