Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
By the way,Mimi sio mpumbavu ila nimeuliza tuWe mpumbavu umejua kunichekesha sana
Exactly mimi kama mwanamke alibakwa hapo nakubali,sasa mtu kapewa mimba lawama zote kwa mwanaume, mwanamke hajui siku zake huyo Ni ng'ombe au mwanamkeNi mwanamke!
Hata ndani ya ndoa mwanamke anapaswa kujielewa!
Akiwa kwa wakati fulani hayupo tayari kuzaa anaweza kuamua kuivuruga kalenda kirahisi tu!
Mwanaume hapaswi kulaumiwa isipokuwa pale ambapo kama alimuingilia kwa nguvu na bila la ridhaa huyo mwanamke!
Sent using Jamii Forums mobile app
PointMwanamke [emoji108][emoji108]!
Wengi wanazitegeshea makusudi ili wawatumie watoto kama vitega uchumi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh wastaarabu.. Wametoa wapi huo ustaarabu?Hahaha jamani single mother anayehitaji mpenzi/mume pm mimi tuyajenge....hawa ndio wastaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono. Na mm nitaoa single mom. Ila Baba mtoto awe amefariki
Siyakukothamela Sonini na nini
Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!
Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Nitaoa Mkuu!Ww unawapenda lakini hujaoa single mother.
Hata mm nawapenda sana.
Kwanini huoi waliozaa kwa operation?
Uzuri wa kuoa single mom ni kuwa unakuwa na uhakika kuwa unaoa mwanamke mwenye kizazi!