Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Anayeamua kupata mimba Ni mwanaume/ mwanamke???

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mwanamke!
Hata ndani ya ndoa mwanamke anapaswa kujielewa!

Akiwa kwa wakati fulani hayupo tayari kuzaa anaweza kuamua kuivuruga kalenda kirahisi tu!

Mwanaume hapaswi kulaumiwa isipokuwa pale ambapo kama alimuingilia kwa nguvu na bila la ridhaa huyo mwanamke!

Exactly mimi kama mwanamke alibakwa hapo nakubali,sasa mtu kapewa mimba lawama zote kwa mwanaume, mwanamke hajui siku zake huyo Ni ng'ombe au mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaoa single mother yeyote kasoro aliyezaa kwa kisu/operation/caesarean section.

Hata uwe na sifa zote ninazohitaji zikajaa mpk pomoni na kuanza kumwagika lakini kamwe siwezi kukuoa kama umezaa kwa operation.

Hii ndo huwa kanuni kuu kwa wote waliooa/wanaotarajia kuoa single mothers.

Kwa hiyo ushauri kwa dada ambaye unaona kabisa unaenda kuwa single mother, jitahidi sana sana usukume mtoto mpk atoke. Ukijichanganya ukazaa kwa kisu uwezekano wako wa kuolewa unazidi kupungua labda uolewe na aliyekuzalisha.

Vipi kwa nyie dada zetu ni sababu ipi inaweza kusababisha usiolewe na single father hata kama ana vigezo vyote?

Cc all single mothers and single fathers.
 
Ww unawapenda lakini hujaoa single mother.

Hata mm nawapenda sana.
Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!

Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
 
Back
Top Bottom