Hiyo inamaana kwamba unapenda vitu used, ukimuowa wadau wataendele kum_Use kama kawaidaUzuri wa kuoa single mom ni kuwa unakuwa na uhakika kuwa unaoa mwanamke mwenye kizazi!
Nikienda mbele ya fikria kwa ulipoishia kuandika
Kuna hili
[emoji117]unahisi singo mama alozaa kwa kisu alikua mtoaji wa tigo?
Sasa huu ni Ujinga.
Hata ww unawza Oa mwanamke hajazaa lkn mwisho akaishia kujifungua kwa kisu.
Nkm inshu ni Tigo, basi amin nakuambia sio watoa tigo wote hujifungua kwa kisu.
Mwisho..... Ukiachana na masharit yako ambayo utendaji kazi wake ni sifuri nikiamin kabisa kabisa kwa unavyoonekana HUNA WAZO HATA LAKUJA KUOA MAMA MWENYE MTOTO....ni bora uache naibakie kua " Mama huyu mwenye mtoto, ataolewa na mwanaume atakayempenda".
Tena niwapongeze sana hawa wamama, mnawapa mimba na kuwakimbia, mama wawatu hosp anakuja mwenyewe. Clinic anagombezwa sana ,lkn yoteee anayavumilia na anaendelea kulea mtoto.
Aaahhhh mazeee ,muwapumzisheni. Alafu kuna madada yanajiweza kiuchumi sana. Na hayababaishwi na wanaume kama wewe .
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Hayo ni mawazo yako mgando! Nani alikwambia operation mwisho tatu???Huo ndo uzuri wao.
Ila km umejiandaa kupata watoto zaidi ya 3 usahau endapo mtt wa kwanza kajifungua kwa operation.
Unao wangapi maana umewekankivunisho wanawake zako woteKwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!
Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Ninao kama wanne Mkuu,nimeona kuliko kuendelea kuwasema bora niwasaidie huku na wao wakinisaidia!Unao wangapi mkuu [emoji23]? Hongera kwa kujitolea kuwa baba wa hiyari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake
Kuzaa kwa Operation ndo Mpango vitu vinabaki kama vilivyoachwa mara ya Mwisho. Nani sikuhz anataka kuharibiwa shape ya papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ikawa watch out part2
Mateso ktk maandishi ya watoto wa jf....ila mtaan single mamaz wanapendwa kawaida sana na wanaolewa tu
Tremendous consequences come from little things,Mtu mwenye stress huwa anawaza negative muda wote na ndio hawa wavulana wa jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa huyo siyo singo maza ni mjaneNakuunga mkono. Na mm nitaoa single mom. Ila Baba mtoto awe amefariki
Siyakukothamela Sonini na nini
Kuna mahali amelazimisha mtu?Msimamo wako si msimamo wa wote, na wala usitake kulazimisha na wengine wawe kama wewe.
Alifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekudanganya ana dhambi nyingi sana
Operation ina madhara kuliko kujifungua kwa mpango wake mwenyezi Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Flames of ambitions, ni Korean lakiniMkuu naomba uniambie jina la hiyo movie nami nipate kuiona.
Sent from my iPhone using JamiiForums