Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kutoa tigo kwa mwanamke sio sababu ya kuzaa kwa kisu, akiwa mtoa tigo complication atakayopata ni kunya wakat wa kuzaa.

Pointi yangu ipo kwenye idadi ya watoto.
Nikienda mbele ya fikria kwa ulipoishia kuandika
Kuna hili
[emoji117]unahisi singo mama alozaa kwa kisu alikua mtoaji wa tigo?

Sasa huu ni Ujinga.

Hata ww unawza Oa mwanamke hajazaa lkn mwisho akaishia kujifungua kwa kisu.

Nkm inshu ni Tigo, basi amin nakuambia sio watoa tigo wote hujifungua kwa kisu.

Mwisho..... Ukiachana na masharit yako ambayo utendaji kazi wake ni sifuri nikiamin kabisa kabisa kwa unavyoonekana HUNA WAZO HATA LAKUJA KUOA MAMA MWENYE MTOTO....ni bora uache naibakie kua " Mama huyu mwenye mtoto, ataolewa na mwanaume atakayempenda".

Tena niwapongeze sana hawa wamama, mnawapa mimba na kuwakimbia, mama wawatu hosp anakuja mwenyewe. Clinic anagombezwa sana ,lkn yoteee anayavumilia na anaendelea kulea mtoto.

Aaahhhh mazeee ,muwapumzisheni. Alafu kuna madada yanajiweza kiuchumi sana. Na hayababaishwi na wanaume kama wewe .

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Kwanini usiseme tu,sitaoa mwanamke aliyezaa kwa operation? Maana Single mother siku hizi wananyanyasika sana, wanachukulia kama wao ni wa tofauti!

Mi nawapenda kinoma,wanawake zangu wote wana watoto na mimi ndio baba yao!
Unao wangapi maana umewekankivunisho wanawake zako wote
 
Unao wangapi mkuu [emoji23]? Hongera kwa kujitolea kuwa baba wa hiyari

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ninao kama wanne Mkuu,nimeona kuliko kuendelea kuwasema bora niwasaidie huku na wao wakinisaidia!
 
Alifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ntaoa lkn awe na mtt wa kike wakiume nisije pigwa uzeeni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alifanikiwa kujifungua ,dada yake alikuwa mwanafunzj wa nursing na alikuwepo wakati wa kujifungua , ilibidi aongee na wale wenzie wakamficha mtoto ye wakamwambia mtoto bahati mbaya amefariki,yule mtoto akapelekwa kituo cha watoto yatima baadae dada mtu akaenda kumchukua na kwenda kuishi nae sehemu nyingine kabisa akamfanya kama mtoto wake na yule mtoto alikuja kujua baadae kuwa yule sio mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naomba uniambie jina la hiyo movie nami nipate kuiona.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom