Sijadanganywa nmeshajifungua kwa Operation mara mbili. Sijaona Madhara yoyote niko imara zaidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahuzunisha kama ndo hivi wanawake wenyewe tunashangilia upasuaji
Kujifungua kwa operation si salama....mshono ukizingua utaelewa kwanini upasuajo huwa ni njia mbadala katika kujifungua
Kuna mahali umesema mambo yanabaki vile vile ukimaanisha k,,,,,, nani kasema ukisukuma mtoto k inabadilika?
Endeleeni kudanganyana
Sent using Jamii Forums mobile app
Si salama kwako kwa wengine ni salama sana.
Pia kuhusu K inabaki hivyo hivyo nmesema tu kuchangamsha genge naona umeichukulia too serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekudanganya ana dhambi nyingi sana
Operation ina madhara kuliko kujifungua kwa mpango wake mwenyezi Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji kujua madhara ya operation ya uzazi?
Wengi wao waliofanyiwa upasuaji nawasikiaga wakilalama kuhusu mishono hasa nyakati za baridi,
Kuna baadhi ya kazi hawaruhusiwi kufanya
Hawaruhusiwi kuinua vitu vizito
On bed kuna style ni ngumu kwao....kama mjuavyo wanaume wetu na mikunjo yao
Ni kusikia tu
Lakini nachoamini Mungu aliyetuumba wanawake alituwekea k kupitishia mtoto hivyo kujifungua kivingine madhara hayawezi kukosekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mbona me pia nimezaa kwa operation na maudhi madogo madogo huwa hayakoseakani ni sawa pia na mwanamke anaezaa kwa njia ya kawaida hutakosa kumskia akisema hata naumwa na mgongo tangu nijifungue.
For that fact dear,hakuna asolalamika mamy katika njia zote mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hakuna asiyelalamika lakini wa operation ana maudhi na masharti mengi kuliko wa kuzaa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungempata mtaalamu angetusaidia sana hapaHadi kupewa masharti inategemeana na sababu zilizopelekea wewe kuzaa kwa njia ya operation so not all of them watakuwa under conditions.
Sent using Jamii Forums mobile app