Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Duuuuh! Hii inahusikaje mkuu?

Membe Jr
 
Kuzaa kwa operation mwisho mara 3. So kama single mom alizaa kwa OP. Means atazaa watoto wawili tu.

So ww lama baba upo tayari kuwa na watoto 2????

Siyakukothamela Sonini na nini
Kwani imeandikwa kila uzao atazaa kwa oparesheni?

Membe Jr
 
Huo ndo uzuri wao.

Ila km umejiandaa kupata watoto zaidi ya 3 usahau endapo mtt wa kwanza kajifungua kwa operation.
Siyo kweli,wapo wanaopata surgery mara ya kwanza then kuendelea kawaida and vice versa

Membe Jr
 
Mwanamke akizaa mtoto wa kwanza kwa kisu ana posibility kubwa sana ya kuendelea kula mishono

Na mwanamke anapozidi kuongezeka umri ndipo anapokuwa na posibility kubwa ya kujifungua kawaida maana nyonga zinatanuka.

Ila anavyozidi kuwa mtu mzima, ndio anazid kusogelea kisu

Cheki mara nyingi kwa mabinti wa miaka 22 hadi 28 wanazaa bila kisu
Kwani imeandikwa kila uzao atazaa kwa oparesheni?

Membe Jr

Siyakukothamela Sonini na nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Nilisema hakuna bila kutoa maelezo, Lakini cycle hii itaendelea kama binti atataka kuendelea, kumbuka kila mtu anamaisha binafsi bila kujali baba wala mama, mahamuzi unayokichwani
 
[emoji122]
 
Suala la single mothers halipaswi kuangaliwa kwa kejeli hakuna anayependa kuwa single mothers ila hebu iangaliwe sababu iliyompelekea kuwa hivyo kuna wanaobakwa kuna waliopoteza wapenzi wao kwenye ajali kuna magonjwa hatarishi ya kansa Figo ini ambayo yamepoteza maisha mengi ya vijana.
 
Hakuna single parent. Hiyo ni dhana ya kibinafsi ukishaza wewe sio single tena. [emoji57]
 
Haya mashetani huwa hayaelewi hata ukizungumza hayo maeno hayawaingii wao wanajionea sawa tu. Kama yalitoa ujauzito na kuuwa kiumbe cha tumboni kisicho na hatia unadhani yatashindwaje kuharibu jamii kwa kutuletea kizazi cha watoto wasiokuwa na malezi ya baba na mama katika familia.

Kimsingi shetani kila anapotaka kuuteketeza ulimwengu huwa anamtumia mwanamke asie na hekima.......


Ndio maana sasa hivi shetani anafanikiwa kila uchao sababu jamii imejaa jinsia ya kike iliyokosa hekima imejawa na ujinga na upotofu wa akili.

Tafuta popcorn tutazame tu jinsi haya mashetani yanavyoharibu jamii taratibu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…