Anaitwa dume la mbeguDhambi kama akihesabu Mungu wote wanakuwa sawa ila kwa upande wanadamu hawako sawa mwanamke akiwa na wanaume wengi ataitwa malaya tu lakin vp kwa upande wa wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ipo sana.....Fungua macho yako.. Hii nimeshuudia sijaambiwa kuna bi mkubwa mmoja age kama 55 niliwanasa akiwa na mwanae age kama 28 wakiwa kwenye conversation binti alikuwa akimpa mrejesho juu ya dawa ya mvuto aliyoipata kwa mganga inavyofanya kazi namnukuu "yaani mama saa hivi nikitembea hatua hata kumi lazima niitwe".
Ni laana kweli kwelikwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.
wakati mwingine unadhani.labda ni laana.
Ameenhaiwezi kuzoeleka mkuu, miaka dahali hata kwa wazungu haijazoeleka wanajaribu kuwa wahumilivu tu lakini haiko sawa. Kanuni ya Mungu haitabadilishwa na wanadamu kamwe, umejifanya
Wanakwambia wanaume wasumbufu wanataka kuwa huru, sasa sijui kuwa huru kufanya nini pumbavu hawaConclusion ni wanawake wanatakiwa wawe na waume wao wenyewe.
Chochote kinacholelewa na kukuzwa nje ya mfumo rasmi wa kifamilia huwa kinakuwa na uharamu wa aina yake......amini nakwambia
Kumbe mtoto wa kiume wao hawazaagi nje ya ndoa au kabla ya ndoa basi sawa.
Nini kudanga wapo wanaowafundisha hadi ushoga vijana wao... Tembea ujione. Na uache ubishi hivi vitu sio asilimia mia moja so ukikutana na walio nyooka ujue ni hiyo asilimia chache...Hakunaga mama mzazi wa hivi!
Inakuwa ni Laana pale anapozaa na mume wa mtu halafu akajikuta analea huyo mtoto peke yake... Mabinti waache kufata hii misemo kama "Hakuna wa peke yako" lkn mwisho wa siku anarudi kwa mkewe.... Wanawake mwalimu wetu ni bubu, kipofu na kiziwi....kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.
wakati mwingine unadhani.labda ni laana.
Hao uliowataja hawana tatizo na watoto psychologically hawatakuwa na shida labda shida ya kiuchumi kama baba ndo alikuwa mtafutaji pekee.Suala la single mothers halipaswi kuangaliwa kwa kejeli hakuna anayependa kuwa single mothers ila hebu iangaliwe sababu iliyompelekea kuwa hivyo kuna wanaobakwa kuna waliopoteza wapenzi wao kwenye ajali kuna magonjwa hatarishi ya kansa Figo ini ambayo yamepoteza maisha mengi ya vijana.
Mama yako ameingia kwenye hii kauli?Yote kwa yote wanawake hawajielewi
Anaweza kuwa ameingia Ila kwa bahati nzuri baba alimzuia asiondoke na mimi so nikalelewa na baba...Mama yako ameingia kwenye hii kauli?
Pole yako.Anaweza kuwa ameingia Ila kwa bahati nzuri baba alimzuia asiondoke na mimi so nikalelewa na baba...
Also I thank God kwa malezi ya upendo mkubwa aliyonipa baba ingawa nlikuwa natamani wangekuwepo wote baba na mama, nikamuomba sana Mungu nipate mume na watoto wangu wazaliwe katika ndoa wawe baba mmoja na mama mmoja... Mungu amenisikia nimeolewa na watoto wangu wana enjoy maisha ya baba na mama... Ingawa mume wangu katengeneza single mother huko alikoenda kikazi, hili bifu wanangu hawalijuiPole yako.
Sikuwahi kuwaona baba na mama wakigombana. I was upbrought in a peaceful well mannered family.
God I thank you!!
So sad.Also I thank God kwa malezi ya upendo mkubwa aliyonipa baba ingawa nlikuwa natamani wangekuwepo wote baba na mama, nikamuomba sana Mungu nipate mume na watoto wangu wazaliwe katika ndoa wawe baba mmoja na mama mmoja... Mungu amenisikia nimeolewa na watoto wangu wana enjoy maisha ya baba na mama... Ingawa mume wangu katengeneza single mother huko alikoenda kikazi, hili bifu wanangu hawalijui
Nimeishusha sana thamani ya ndoa...huyo dada anaishi katika kauli ya hakuna WA peke yako lkn ameachwa peke yake na mtoto (kuna kipindi watoto kama hawa waliitwa wanaharamu)
Girls will be girls boys will be first.Vipi wanaume vitombi watoto zetu jee???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
ππππππ we mshenzi umeniacha hoi sanaBeatings will continue until morale improve.