Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jamaa ajaongelee kutulia .. single mother yeye maisha yake yote anampigania mwanae iliamsaidie kivyovyote .. nanikweli hata ukimtongoza single mother atakwambia ni na mtoto utaweza kumtunzaa ... hilo ndojibu la single mother wote dunia...
Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto

Acheni hizi stereo types za kishamba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ningeacha kabisa kula na ninavyopenda kula sasa ila imagine Lizarazu asingecomment hapo ningeacha kabisa kula kuanzia leo hadi nakufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ningefunga mwezi mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
THE BITTER TRUTH AND THE SPIRITUAL AND SOCIAL REALITY OF LIFE, KWANINI MWANAMKE AKIZAA THAMANI YA MAHARI YAKE HUWA CHINI AMA KUTOKUWAPO KABISA??? KUNA BUSARA INAHITAJIKA KUELEWEKA HAPO, NI ASILIMIA CHACHE SANA YA SINGLE MOTHERS WANAOWEZA KUENDELEA NA MAHUSIANO MENGINE BILA KURUDI NA YULE BABA WATOTO, WATOTO WAMEBEBA NGUVU KUBWA ZA KIROHO KTK MUUNGANIKO AMA MPARANGANYIKO WA FAMILIA, LICHA YA HIVYO PROBABILITY YA KURUDI KATIKA MAHUSIANO YA AWALI NI MAKUBWA SANA KULIKO WATU WANAVYOFIKIRI, KIJANA ANAHTAJI BUSARA NA HEKIMA ZAIDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MA SINGLE MOTHERS KULIKO WANAVYOFIKIRI, UCAN RUIN IF NOT DESTRUCTING YOUR FUTURE, TATIZO WENGI WETU TUNAPENDA KUYACHUKULIA HAYA MAMBO LAISEE FAIRE SANA BIL KUTUMIA JICHO LA TATU KAMA SI KUWAZA WAT CAN BE 20-30 YEARS WEWE UKIWA HAUPO.
 
Oohh mbona kuwahi kuyasema haya siku zote?? Kuna siku na wewe ulisema eti mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume kwenye haya mambo sasa leo unaongea tofauti ungekuwa this specific siku zote tungekuwa tunakuelewa ila siyo kila siku kushikia bango jinsia moja tu hadi tunaona uko biased ila bado nina swali kwako Mungu anawachukuliaje wanawake wasio na bikira na huwa anawapa adhabu gani??
 
Halafu Extrovert sijamuona kabisa
 
Agiza Apple nakuja kulipa
 

Mimi nipo hivyo hivyo siku zote. Usilolijua ni kuwa unaniona hivyo kwa kuwa mada nyingi zinawahusu wanawake kuliko wanaume.

Anzisha mada zinazowaponda wanaume wahuni uone kama sitachangia.

Kuhusu Mungu anawachukuliaje hilo lipo wazi. Wote wanafanya uovu. Wote wanajilaani na Mungu anawachukulia kama kizazi chenye laana. Iwe ni Me au Ke.

Mwisho usidhani kila mwanaume unaweza mtishia. Ulidhani ukisema mambo ya PM ndio nitahofia. Mimi ni mwanaume kamwe sitishwi na jambo lolote sembuse wewe Mwanamke.
 
Jokajeusi, Hayo uliyoyaongea yanabadilisha ukweli wowote??

PM yangu nimeiacha wazi kwa ajili ya watu wanaojielewa siyo kwa ajili ya kila mtu halafu unajua wewe unapenda sana kuropoka kila kitu yaani unajijua kabisa unapenda unaropoka halafu bado hauchagui vitu vya kuropoka!!
 
Basi fungua uzi ukielezea jinsi gani hili tatizo linavyochangiwa na pande zote mbili na sio kuleta contextual derailment na kupoteza mantiki nzima ya mada.
Hivi unadhani kwanini mods mara nyingi wanaunganisha nyuzi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…