Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwahiyo mwanamke aliyeolewa naye aendelee kutunza bikira anamtunzia nani sasa?? Au umekurupuka tu kureply comment bila kiuelewa??


Mkuu mtu aliyeolewa anakuwaje na bikra sasa. Ndio maana mada haiwahusu walioolewa bali wasioolewa ambao hapa ni Single mother.

Wewe bikra yako si utasema umempa mumeo. Haya single mother ataongea nini.

Ukisoma comment zangu utulie usidhani upo kwenye dera unamsuta mtu hapa.
 
Unachofanya ni kulazimisha lawama ziende upande mmoja kwa kosa lililofanywa na pande mbili na ndicho watu wanachopinga hapa hivyo haujaongea ukweli umeongea kihisia tu
Ok, shikilia unachokiamini. Hapa siongelei makosa, naongelea nani anapoteza sifa kwa tendo hilo. Kama unadhani mwanamume anapata taabu kupata mke wa kuoa kama atazaa nje basi sawa. Ila tahadhari kwako, si kila jambo lina haki sawa. Kama umekaririshwa hivyo basi umepotea kwa kukosa maarifa. Hata Biblia unayoiamini inakukataa. Mtaandamana kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa msipate suluhu, ukweli halisi sio kutafuta huruma. Achenikuzaa hovyo, mjitunze mpaka ndoa
 
Tatizo lako ni moja tu, unaongea ukweli bila hata kutumia maneno ya kupooza. Unakunguta hadi nyoyo zinauma.
 
Kweli nyie matumizi yenu ni kidogo tu like 7800/= its more than enough
 
Wenyewe wanasema "Kuoa single maza ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro"
 
Wapo wanaokataliwa; though sio to the extent kama wanavyokataliwa single mom. Sio kila mwanamke can settle for a blended family; wengine ukiwa tu na mtoto bye bye. Ulichoniquote pale juu ndicho nilichotaka ukione; the bigger picture
Kwenye the bigger picture u nailed
Anaeumia ni mtoto
Ndoa ina nguvu sana..siku zote mtt wa nje ya ndoa na wa ndani utaiona tofauti tu
 
Why u always painting men as winners and women as always losers?..what if umekosea kuoa?.

Uhalisia hauko hivyo siku zote...Mungu anabariki KE na ME...btw kuzaa na kuacha sio sifa

Mnaishi jamii gani jamani

Mboni kaolewa juzi tu miaka 40 na mwanae juu
Na mama diamond mfano wa pili😂😂😂
Jifunzeni kwa Baba Diamond jmn
Zaa uache ukadhani mtoto atakua muokota makopo kumbukeni Mungu si Athumani ...
 
Huyoo single mother amesababishiwa using mother na mwanaume ambae ni miongoni mwa wanaume wasio waheshimu wanawake
Umemzalisha,umekataa kumtunza mtt wako yey anaamua kumtunza mtt wake bila baba kwa machungu na maumivu anayopitia
Unaamua kumtafuta bint 20,unasema singo mother amelegea kwa kuzaa(hauna adabu kabisa)ulie mlegeza ni wewe

Wakati unamuona singo mother amelegea,wewe mwenyewe haijakaza sawasawa yakwako pia imelegea kama utumbo wa kuku[emoji2][emoji1]huyoo binti anda 20 anakuangalia tuu,kuna siku atavunja ukimya

Tuwaheshimu wanawake,hakupenda kuwa singo mother
 
Muokota makopo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We unapata tabu ya nini
Si ukachukue aliechoropoa mimba uoe utulie.?
 
Umeandika vizuri sana... Ila sidhani kama single Mom wote ni matokeo ya uasherati.
Hata wewe sidhani kama mkeo ulimkuta bikra. Na huenda mkeo alishachezea mashine zaidi hata ya hao single mothers hliowasema hapa.. Lucky for her hakupata mimba
Single Mothers wengi almost 80% ni matokeo yetu sisi wanaume wenyewe kuwatumia...wakipata mimba tunawakimbia kwamba hatujajipanga na masababu mengine kibaoo...
So please. Treat them fairly. Na tusiwanyayapae aisee..
Mtazamo wako ni Pure STIGMATIZATION.
Nyenyere
 
Una Akili Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…