Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ukitulia unaandikaga madini
 
Haya mambo it goes beyond kuzaa nje...na wanaume wanateseka kwa kua wanakokimbilia kwa mabinti wasio na watoto huko nako si bandari salama mda wote...

Wangapi hawana watoto ila wametoa mimba sana?..
Wangapi wamezaa ila tabia ni ahueni kuliko wasiozaa?.

Bora kulitizama kwa mapana/mtu na mtu
 
Najua hii ni ngumu kumeza na ukweli unauma sana lakini hii ni kweli tupu ila hapo kwenye kumpata bikra ni adimu siku hizi bora ungesema yeyote yule ambaye bado hajawahi kupata mimba kabisa na utamjua tu ipo namna.....
Mkuuu mimba ameipata akaitoa tena sio moja,2,3 ,ametoa mimba ili aonekane bado binti hajawahi kukaa

Ukija kumuoa hapati mtt kumbe alisha toa mimba nyingi tuu
 
Hapa umesema kweli dada yangu,japo wengi watakupinga.Ukiangalia ndani ya wiki hii tu kuna somo kubwa kwa mwenye akili na mazingatio ndani yake,walimu 2 wa sekondari (Singida) wamehukumiwa 30 yrs kwa kosa hilo hilo,leo kuna mwingine kahukumiwa 50 yrs kwa kosa hilo hilo,jana Mwl Mkuu msaidizi wa Bwai P/s (Mara) kashikwa na kitoto cha standard 7 ofisini.Kuna wakati tunafanya mambo ya ajabu sana,ngono ikimtawala mtu akili hupooza,tubadirike.
 
Hakika[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lizarazu uje usome hapa
 
We jamaa ni WOMAN OPPRESSOR aisee... Mitazamo yako ni too archaic...
Like men hawakosei. Very Wrong.
 
Mkuu hili nakubaliana na wewe kabisa kwa single mothers hakuna stress kabisa. hawa under 20 mara anakuja anakulilia amenasa ujauzito na ghasia kibao.
Kwa single mathers michongo hiyo hakuna. kuna ushikaji wangu alikuwaga na chimbo moja hizi la single mother mchizi akiibuka pale daily anagonga menu na hajawahi ulizwa hela ya bamia wala robo ya unga. alikuwa anakata mpunga akioenda tu. Ila baharia alikuwa na tabia mbaya hadi kuna siku nikamchana mbaya. King'amuzi cha Azam kilikata kwa single mother....unaambiwa baharia anakomaa na TBC kwa zaidi ya wiki hata kulipia kifurushi cha 18,000 anaona hasara.
Kweli nikasema hawa single mother wadumu milele.
 
Mkuu, mbona tunao ndugu, jamaa na marafiko wanaotuzunguka? Nawashangaa wanaonikasirikia utadhani mimi nimetoka EDENI kuumbwa, yaani sina ndugu wa kike. Nachofanya ni kuongea mambo magumu ambayo jamii inayakwepa kwa kutafuta visingizio.
Yani hili uliloongea waliona ligumu. Lipo tunaliishi tunalijua .. Wewe unaona umeongea kitu kipyaa..

Acha.

Una mtazamo hasi dhidi ya wanawake... Na huenda ujui lazima shida inaanzia kwenye malezi yako...tabia ulizorithi toka kwa walezi wako au hata jamii ulikokulia ilikuwa na mtazamo gani dhidi ya wanawake .. Si bure.
 
Anaumia mana formality alizoweka kichwani na hali halisi hazichezi...anaishia kuja na 'how its supposed to be'
Maisha hayako ndani ya box..mambo ni mengi

Ni kama vile useme wasio na degree wote watakua na maisha magumu sana...wkt kuna wafanyabiashara hawajui hata degree ni nini na hawana maisha magumu
 
Yaliyomo ndani ya ndoa huyajui, hivyo usibuni mambo. Pia mimi kusema hakuzuii kuolewa kwao, kwani hata makahaba wanaolewa pia. Soma thread nilizoongelea hayo, wanaume walioharibika akili na wanawake walioharibika akili.

Hata hivyo kwa sababu haipiti siku single mother wanaolewa, zaeni sana kabla ya ndoa muolewe. Binti mwenye busara ameelewa maonyo, wengine endeleeni kupigania kuzaa hovyo kwa sababu mnaolewa zaidi mkiwa na watoto wa pembeni. Tena wengine wanawasifu kuwa kuzaa kabla ya ndoa hupelekea kuwa wake wazuri na wenye sifa njema. So kupanga ni kuchagua, huzuiliwi, ndipo tulipofika.
 

Hoja yako haihusiani na topic, ila kwa sababu si mara ya kwanza kuleta mtazamo huo nitakujibu: tena:

1. Hoja hii sikuiweka jukwaa la dini kwa sababu ni huru, ya watu wote wa imani zote.

2. Nakuomba ufungue ufahamu wako, utembee katika kweli uwe huru. Mimi nimelielewa kuwa "wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu" sasa sijui unasemaje. Mwanamke ana special provision mbele za Mungu, hakuna usawa hata kama hupendi. Wote wakilalana wataingia dhambini, wakiubu watasamehewa, lakini mmoja atapata permanent damage. Bahati mbaya kwake hata Yesu aliagiza mwanamke mwasherati apewe talaka, sasa wewe nawe unaagiza mwanamume mwasherati apewe talaka. Feminism itawapoteza.

3. Kiungo kikipotea kurudi ni neema tu. Mfano mtu akijihusisha na ujambazi akakatwa mkono, halafu akafanya toba akasamehewa, huo ulemavu imebaki kuwa ni ukumbusho kwake kwamba alifanya maagano yasiyofaa lakini sasa yuko huru, afurahi kaatika huo bila kumlalamikia Mungu kwa jinsi alivyo. Mwanamke aliyetumikia ukahaba akitubu, kiungo chake hakirudi tena hata akitubu, afurahi kwa jinsi alivyo na amsifu Bwana. Tofauti ni kuwa vijana wanaojielewa wana upako wa fresh na ndicho walichoagizwa. Kwa hiyo jkipoteza hicho kiungo umepoteza sifa muhimu ya mke wa ndoa kibiblia.

4. Kwenye kujamiiana kwa mara ya kwanza mwanamke anapoteza vitu viwili: (i) kiwambo {hymen} (ii) damu ya agano. Hivyo ndio seal ya agano la ndoa kati ya mume na mke mbele za Mungu. Vitu hivyo muhimu havirudi na ujue umemevitoa kwa mtu asiye sahihi kwako. Sasa mwanamume hana hayo, hivyo acha kabisa kujilinganisha naye. Yeye atatoa shahawa tu, na hata akitubu akaoa ataendelea kutoa hiyo.

Tukiweka wanaume 100, waliofanya uasherati nawasiowahi kufanya watakuwa sawa kimaumbile, watatofautiana kwenye elimu ya kujamiiana tu. Wanawake je?
 
Stereotyping

Mabinti wasio na watoto wangekua dili sana basi wangekua wameolewa wote huku single mothers wakiachwa...ila God is for us all[emoji3526]
Good, God is for us all, just change your ways lady. Also you need to learn the backwardness of God, utaelewa kama ni steriotyping or not. Kuolewa is not an issue, hapa naongea na vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa, ila wapo wasio na ipako wa "fresh." Waleeni binti zenu katika maadili mema, hata Mungu anataka hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…