Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.We jamaa ni WOMAN OPPRESSOR aisee... Mitazamo yako ni too archaic...
Like men hawakosei. Very Wrong.
Wapo walioona ni kitu kipya, kwa wewe unayeliishi good luck. So kukaa kimya kwako itakuwa busara zaidi.Yani hili uliloongea waliona ligumu. Lipo tunaliishi tunalijua .. Wewe unaona umeongea kitu kipyaa..
Acha.
Una mtazamo hasi dhidi ya wanawake... Na huenda ujui lazima shida inaanzia kwenye malezi yako...tabia ulizorithi toka kwa walezi wako au hata jamii ulikokulia ilikuwa na mtazamo gani dhidi ya wanawake .. Si bure.
So truePrince Charles kamuoa Camilla Parker-Bowles wakati Camilla ana watoto wawili tayari.
Na hao ndiyo ma snob of snobs, British Royal Family.
Mtu kama huyu siku akisikia Prince Harry kaoa single mother anaweza kuandamana kupinga ndoa.
Mhh mentality yako ile ile ya 'wishful thoughts'Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.
Swali hilo limekuonyesha upeo wako ni mfupi sana. Hivi hao wanaokubaliana wanakwenda semina kutaka nini wakati tayari wana makubaliano? Hivi vijana wanaotaka kuoa wanatafuta ushauri wa nini? Swali lako ni mojawapo ya illogical questions ndio maana sihangaiki nalo.Wewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongeza upeo.
Ungekuwa na upeo usingekimbia msawali.
Mwanamke yeyote akiolewa kwa makubaliano na mwanamme wake, wewe kinachokuuma ni kipi?
Kwani mkuu wewe hakuna Ndugu yako wakike kaolewa akati tayari alikuwa ashazaa????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Swali hilo limekuonyesha upeo wako ni mfupi sana. Hivi hao wanaokubaliana wanakwenda semina kutaka nini wakati tayari wana makubaliano? Hivi vijana wanaotaka kuoa wanatafuta ushauri wa nini? Swali lako ni mojawapo ya illogical questions ndio maana sihangaiki nalo.
Sema jinsia zote zilelewe vizuri
Kwa kua tendo la uzinzi ni la wawili.,
Kuacha mtoto wako sio ushujaa sana.,
Yesu angeshuka tena leo angekuambia the same lines he said miaka elf 2 iliopita 'asie na dhambi amtumpie mawe single mom/mwanamke malaya'
I don't care umenionaje, wala sihitaji nikufurahishe, mimi nasema ukweli vijana wafunguke macho, mabinti kwa wavulana. Kama nimekuudhi halikuwa lengo langu, ila jamii imepaswa kubadilika. Ikimbieni zinaa.Unajitetea tu saivi..we have seen the stereotype already..
OkMhh mentality yako ile ile ya 'wishful thoughts'
Ikiegemea kumuonea binti
Wapo, uliza swaliKwani mkuu wewe hakuna Ndugu yako wakike kaolewa akati tayari alikuwa ashazaa????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
mkuu umeniwahi hii comment ilikuwa niiandike ila sio mbayaUmeharudi mwanza mkuu?
Ulifanikiwa kupata nauli ya kuongezea kwenye 7800? 🐭🐭🐭
Yesu lini alisema waolewe mabikra tu ?..Kuhusu dhambi ni mtazamo tofauti kabisa na kilichopo. Please, don't christianize this thread!! Nimeandika kwa watu wote wa imani zote.
Tukija kwenye imani ya kikristo kama uliyotaka, hata enzi za Yesu makahaba waasherati walikuwapo. Lakini ajabu kwako ni kuwa aliagiza waolewe bikira tu, kwa nini? Hiyo ndio standard ya Mungu, mengine ni kutegemea neema. Ukiiba ukatolewa macho utabaki kipofu hata ukitubu. Kupona upate kuina ni neema ya ajabu (muujiza), vinginevyo utapokea msahama wa dhambi ukitubu kwa kumaanisha, halafu utaendelea kuishi kipofu maisha yako yote.
Wakati wewe unayejifichia kwa Yesu ukidhani kuacha mtoto sio ushujaa, Yesu anasema uasherati ni dhambi. Habari ya mtoto ni matokeo ya uasherati na hakuna sehemu kwenye Biblia imemwamuru mwanamume kumtwa mtoto wa nje ya ndia kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kuhalalisha uasherati na uzinzi. Biblia inashughulika na mzizi wa dhambi.
Ikimbieni zinaa.Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana
Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela
Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa
Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu
Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama
Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela
NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio
Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana
Acheni maisha ya risk
Why hukuwaambia na kuwashauri wanaowaoa kuwa wanakosea Njiaa wawache wakatafute Wanawake wengine..??? Kama sio unafiki ni nini??? Unakuja kuharibu mind za vijana waliopendana na kuwa na Plana na single mama wao wewe unaharibuu akili zaoo..Wapo, uliza swali
Huyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..Anaumia mana formality alizoweka kichwani na hali halisi hazichezi...anaishia kuja na 'how its supposed to be'
Maisha hayako ndani ya box..mambo ni mengi
Ni kama vile useme wasio na degree wote watakua na maisha magumu sana...wkt kuna wafanyabiashara hawajui hata degree ni nini na hawana maisha magumu
Ni mnafikiii sanaa huyu jamaa... Anajikuta mshauri mzuri hapa Jf lakini huko kwenye familia yake hawezi simamia hayaa... Nyuma ya keybod anashupaza shingo balaa...!!Huyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..
Lakini pia atakua haamini katika sheria ya KARMA....
hili aliloliandika si mda linaenda tokea ktk familia yake...
From your perception Mkuu. ... How you perceive single moms...Illa tu nikushauri utafute threads zangu nyingine uone, you will learn something about me. Kwa sasa umehukumu mapema mno, so hold your fire mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mnafikiii sanaa huyu jamaa... Anajikuta mshauri mzuri hapa Jf lakini huko kwenye familia yake hawezi simamia hayaa... Nyuma ya keybod anashupaza shingo balaa...!!