Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sema jinsia zote zilelewe vizuri
Kwa kua tendo la uzinzi ni la wawili.,

Kuacha mtoto wako sio ushujaa sana.,

Yesu angeshuka tena leo angekuambia the same lines he said miaka elf 2 iliopita 'asie na dhambi amtumpie mawe single mom/mwanamke malaya'
Lizarazu hatakuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.

Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".

Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
Maharia
 
Wewe una qualification gani ya kuwashauri watu kuhusu ndoa zao?

Walikuomba ushauri?
 
Tatizo wanaume hamkubali kuambiwa ukweli na wanawake hata siku moja
 
Umeyawasilisha mawazo vema.
Aisee...hadi sometimes najisikia vibaya kwa sababu ya Hawa watu ...wanaandamwa mno jmn[emoji25]
Sanaa.. Wanaandamwa mnoo...
Mbaya zaidi kwa Mtazamo wa jamaa ...' Mwanaume hakosei '

Damn.

Thats very bad. Very bad.

Labda jamaa hajajichanganya na jamii ...au anaishi maisha ya five starss...kiasi kwamba hajui Vile wanaume wanarubuni mabinti wadogo kabisa na vile wanavyotumia umasikini au mazingira yao magumu kuwaharibia maisha.

Bado namtafakari.
 
Kwahiyo wewe unalazimisha utofauti hadi kwenye dhambi?? Ni hivi wanaume na wanawake tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi yaani dhambi akiifanya mwanaume au mwanamke haina utofauti hata kama madhara yanatofautiana ila haibadilishi ukweli kwamba ni dhambi

Sasa msidhani eti kwa sababu kwenye haya maswala wanaoumia sana ni wanawake basi wanaume ndiyo hamstahili kuambiwa muache hapana maovu yanatakiwa yakemewe kwa jinsia zote kama maandiko yanavyosema kama hamtaki kuambiwa ukweli basi bishaneni na muumba na siyo wanawake
Endelea hivyo hivyo, ongea ukweli mpaka na aliyekuzalisha na azae
 
Jamani kwani hapa anayeongelea haki sawa ni nani?? Kwahiyo kwa sababu wanaume hampati madhara kama wanawake basi ndiyo tusiwaambie ukweli?? Lazima tuseme ukweli kwamba wanaume nanyi mnachangia katika uwepo wa single mothers

Na ni lazima ukweli usemwe kwa jinsia zote mbili na siyo kuangalia eti jinsia moja ndiyo inapata madhara kuliko nyingine yaani ni sawa na mtu badala ya kukemea wezi eti anawaambia wanaoibiwa ndiyo wawe makini utafikiri wezi hawana makosa kabisa ila wanaoibiwa tu ndiyo wana makosa!!
 
Tatizo wanaume hamkubali kuambiwa ukweli na wanawake hata siku moja

Inategemea na Mwanaume.
Mtu asiyependa kuambiwa ukweli hajiamini. Ni mtu asiyependa kubadilika. Ni mtu ajionaye Mungu mtu yaani hakosei.

Hao wanaume wa hivyo ndio hao wapumbavu wanaoshindwa kumwambia ukweli mwanamke kama alimkuta hovyo.

Ni sawa na mwanaume asiye na pesa akatae kuambiwa ukweli ni Mke wake kuwa hana hela. Huko ni kutokujiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…