Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hakuna anayetaka wanawake waendelee kuzaa hovyo nje ya ndoa ila unapoongelea tatizo lazima uongelee na mzizi wa chanzo na siyo shina tu wewe unaongelea shina la tatizo na unauacha mzizi wa tatizo hapo unategemea nani atakuelewa zaidi ya kukuoma mnafiki tu??

Hebu siku jaribu kuanzisha mada inayohusu maovu ya wote wanaume na wanawake huyo atakayekushambulia atakuwa na matatizo lazima tuongee ukweli haijalishi jinsia gani ndiyo inapata madhara sana sana kuliko nyingine kumbuka wanawake nao ni binadamu kama wanaume na siyo malaika
 
Hiyo tofauti imeelezewa wapi kwenye maandiko?? Sawa umesema kuna watu wasio na dini wala wasioamini Mungu sasa hao utawaambia nini kuhusu maswala ya bikira maana kama mtu haamini dini wala Mungu basi pia haamini kama kuna dhambi yeye chochote anachofanya kwake anaona ni sawa tu je mtu huyo utamlaumu?? Halafu kwani hapa dunia wanadamu tunaishi kwa kutenda mema kwa lengo gani si kwenda mbinguni tu au??

Sasa mwanamke akizini akatubu akasamehewa akaanza kutenda mema na kuacha kabisa uzinzi na uasherati utasema kwamba eti hataenda mbinguni kwa sababu tu yeye kapoteza bikira na hairudi ila mwanaume hajapoteza kitu?? Hapa swala siyo kujilinganisha hapa tunaangalia kitu kinaitwa DHAMBI kama hakuna jinsia yoyote iliyoruhusiwa kutenda dhambi basi kila jinsia inatakiwa kukemewa kuacha dhambi haijalishi jinsia gani ndiyo inapata madhara zaidi halafu hayo madhara unayosema ni mitazamo ya kijamii tu tena hasa jamii za kiafrika ambazo hazijastaarabika lakini kwa Mungu mwanaume au mwanamke aliye malaya hauwezi kumfananisha na mwanaume au mwanamke asiye malaya hata kama kimaumbile watatofautiana kwani kuna sehemu maandiko yamesema kuwa anayepata madhara zaidi ndiyo aonywe zaidi??
 
Kwahiyo wanaume wasilelewe katika maadili mema siyo?? Kwamba wanaume imeshindikana kabisa kuwaasa waache maovu ndiyo maana mnawakwepa au??
 
Sawa mimi naisubiri kwa hamu sana hiyo jamii ambayo wanawake watakaokuwa wanaolewa ni wale ambao hawajawahi kuzaa au wale mabikira tu (huku wanaume wakiendelea kufanya uhuni wao lakini) ila wale single mothers na non virgins watabaki kuwa manungayembe oh I just can't wait
 
Wewe uliyeshindwa kujibu maswali ndiye una haja ya kuongeza upeo.

Ungekuwa na upeo usingekimbia msawali.

Mwanamke yeyote akiolewa kwa makubaliano na mwanamme wake, wewe kinachokuuma ni kipi?
Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
 
Oohh I see kumbe na wewe ni mmoja wa wale wanaohangaika kusoma saikolojia za watu kupitia yale wanayoyaandika humu (hata kama kiuhalisia hawako hivyo)?? Okay umepata faida gani hadi sasa??
Pia uzoefu wa ndoa uanousemea wala hauna. Mimi naongelea mambo yanayoizunguka jamii, sio ndoa yako. Bythe way guess what, nishakusoma kitambo kisaikolojia.
 
Oops kama ni hivyo basi mada yako tayari imekwishapoteza uhalisia na wanaume mnapokosea ni pale mnapodhani kuwa Mungu ni wa wanaume tu wakati Mungu ni wa wote wanaume na wanawake kama anaweza akampa mwanaume mzinzi mwanamke mtulivu anashindwa nini kumpa mwanamke mzinzi mwanaume mtulivu?? Au haujawahi kuona ndoa za aina hiyo ya pili kati ya nilizozitaja??
Unaelewa maana ya sampling? Hivi tukisema watusi ni warefu ina maana hakuna wafupi? Hili swali ni illogical
 
Sasa yule mwanaume ambaye ameoa single mother na ndoa yake imedumu na anaona ndoa za wanaume wenzie waliooa mabikira hazijadumu unadhani atakuelewa hapa??

Kwahiyo unataka wanaume wenzio waliojifunza kutokana na experiences zao waache kuamini wanachoamini na waamini unayoyasema na wajifunze kutokana na stories zako siyo??
 
Yup, jinsi unavyoniona. Kila mtu ana mtazamo wake, who am I to deny such allegations!! Wengine ni oppressors ninyi wengineni liberators, that makes US.
Basi ungekubali hilo tangu mwanzo na siyo kuzunguka tu
 
Wanaume wanaumia sana,tena sana Kuliko wanawake...Believe me...
ujuaji na kujihesabia haki kunawaponza sana

Mfano tu:Ushawahi ona nyuzi humu wanawake wakilalama kwa kuhusu single fathers ama kwa nini wanaume hawaoi?..

Ila nini kinawauma kwa jinsia ya pili?,,siku zote wanaume ndo wanapata tabu na wanawake

Mentality walizojiwekea kichwani hazi'work hivyo wana uchungu sana
 
Aisee wewe unaongelea biblia ipi hiyo?? Wakati kitabu cha mwanzo kinasema mwanaume akimtoa mwanamke bikira au akimzalisha mwanamke mtoto anatakiwa amuoe??
 
Kwahiyo mwanaume aliyemzalisha huyo mwanamke yeye ndiyo anapaswa kuoa mwanamke mwingine asiye na watoto si ndiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…