Kweli mkuu inabidi kusoma ramani kwanza thread zingne unavunga kiainaMimi nimekaa kimya hapa mwanangu nawaangalia tu
Sanaa.. Wanaandamwa mnoo...
Mbaya zaidi kwa Mtazamo wa jamaa ...' Mwanaume hakosei '
Damn.
Thats very bad. Very bad.
Labda jamaa hajajichanganya na jamii ...au anaishi maisha ya five starss...kiasi kwamba hajui Vile wanaume wanarubuni mabinti wadogo kabisa na vile wanavyotumia umasikini au mazingira yao magumu kuwaharibia maisha.
Bado namtafakari.
Tena Sana Mkuu, Marahaba.Shikamoo. Mtu mzima sana wewe.
HayaInategemea na Mwanaume.
Mtu asiyependa kuambiwa ukweli hajiamini. Ni mtu asiyependa kubadilika. Ni mtu ajionaye Mungu mtu yaani hakosei.
Hao wanaume wa hivyo ndio hao wapumbavu wanaoshindwa kumwambia ukweli mwanamke kama alimkuta hovyo.
Ni sawa na mwanaume asiye na pesa akatae kuambiwa ukweli ni Mke wake kuwa hana hela. Huko ni kutokujiamini.
Nyie endeleeni tuKweli mkuu inabidi kusoma ramani kwanza thread zingne unavunga kiaina
ukijichanganya tu unavuliwa nyota zote
Sababu wanamapungufu mengi kuliko single father
Yes ExactlyWanaume wanaumia sana,tena sana Kuliko wanawake...Believe me...
ujuaji na kujihesabia haki kunawaponza sana
Mfano tu:Ushawahi ona nyuzi humu wanawake wakilalama kwa kuhusu single fathers ama kwa nini wanaume hawaoi?..
Ila nini kinawauma kwa jinsia ya pili?,,siku zote wanaume ndo wanapata tabu na wanawake
Mentality walizojiwekea kichwani hazi'work hivyo wana uchungu sana
Hawa wengine wanaamini Mungu ni mwanamme kama wao na hivyo wanawake ni viumbe dhaifu tu.Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
Poa usijali FeministSiwezi kurudi tena mkuu
Una upeo ufinyu, itoshe tu kusema hivyo. Endelea kuoitia threads nyingine, hii imekuzidi kimo, bye.Why hukuwaambia na kuwashauri wanaowaoa kuwa wanakosea Njiaa wawache wakatafute Wanawake wengine..??? Kama sio unafiki ni nini??? Unakuja kuharibu mind za vijana waliopendana na kuwa na Plana na single mama wao wewe unaharibuu akili zaoo..
Hujui ulinenalo, sheria ya karma kwangu ni witchcraft. So usiniletee uchawi wa kihindi hapa. Pia unadhani hilo li karma lako litakuja kwa sababu nimesema uasherati na mapenzi nje ya ndoa ni mabaya? Una matatizo weweHuyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..
Lakini pia atakua haamini katika sheria ya KARMA....
hili aliloliandika si mda linaenda tokea ktk familia yake...
Nini kimekukwaza mkuu? Badala ya kujadili hoja unajadili mtu. Wenye ufahamu wameelewa maana, kwani kauli kama hizi zinaleta signals fulani.Ni mnafikiii sanaa huyu jamaa... Anajikuta mshauri mzuri hapa Jf lakini huko kwenye familia yake hawezi simamia hayaa... Nyuma ya keybod anashupaza shingo balaa...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka yangu nani huyo?? Huyo mnafiki??
Fine, we do not need to agree on everything, that's thinking. Mimi kuwa na madada haiondoi ukweli. Pia kuongelea kuwa I have sisters haihusiani na mada. The topic is well thought na wanaoweza kuipokea ni wenye kujaa kwelo ndani yao, hawa watakuwa critics wazuri. Wale wa kusema: una dada, una ndugu, una watoto, utapata karma n.k. ni weak spicies. Wanaendeshwa na emotions kuliko uhalisia.From your perception Mkuu. ... How you perceive single moms...
Wewe ndo umejipa sifa hizo..
Change. You have sisters somewhere! You never know.
I am grown up kupita maneno ya watoto wa facebook. Ukweli utasemwa tu,ila watu kama hawa tunaona what is behind the scene. Usitazame sura ya mbele tu, case settled.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah.... Kaka yako anasemwa huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
Wanaziba juu tu, ndani ni extra largeNimekwambia siku hizi bikira zinatengenezwa je utamjuaje mwanamke aliyetengeneza bikira??