Sanaa.. Wanaandamwa mnoo...
Mbaya zaidi kwa Mtazamo wa jamaa ...' Mwanaume hakosei '
Damn.
Thats very bad. Very bad.
Labda jamaa hajajichanganya na jamii ...au anaishi maisha ya five starss...kiasi kwamba hajui Vile wanaume wanarubuni mabinti wadogo kabisa na vile wanavyotumia umasikini au mazingira yao magumu kuwaharibia maisha.
Bado namtafakari.
Mimi nimekaa kimya hapa mwanangu nawaangalia tu
Umeamua kuvunja ukimya mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]Wewe ni single mother?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu inabidi kusoma ramani kwanza thread zingne unavunga kiaina
ukijichanganya tu unavuliwa nyota zote
[emoji1787][emoji1787]
Kuoa ni kubeti tu.
Mkeka unaweza ukachanika hata kwa timu uliyoiamini asilimia 100
Brother kumbe na wewe huwa unachukia hivi sometimes!???Hujui ulinenalo, sheria ya karma kwangu ni witchcraft. So usiniletee uchawi wa kihindi hapa. Pia unadhani hilo li karma lako litakuja kwa sababu nimesema uasherati na mapenzi nje ya ndoa ni mabaya? Una matatizo wewe
Kwa Mungu kugumu, so umehamia kwa atheist. Feminist na Biblia wapi na wapiKumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
Unamjibumtu kadri anavyokujia.Brother kumbe na wewe huwa unachukia hivi sometimes!???
Nilisema nitaandika kwa habari ya waliozaa kwenye ndoa(hawa sio single mom, ni wajane). Ngoja niiweke sasa hapa chini.Huu ni ukweli kwa asilimia nyingi (sio zote), ni vile tu single moms huwa inawachoma sana.
Na hata hivyo si vyema sana kuwahukumu kila siku wakati jambo liliishatokea.
Hapa ni wasichana ambao bado hajaolewa na hawana watoto ndio wajifunze kuwa kukubali kuzaliswa kabla ya ndoa ni kujilipua maana unaweza ukaacha na mwanaume na mwanaume huyo huyo akaja kuanza kusema hawezi kuoa single mom wakati na yeye ana mtoto tayari.
Bora mwanamke awe single mom lakini alizalia ndani ya ndoa, ila majanga tu yatatokea akabaki single tena. Huyo ana la kujitetea.
Aiseee..hivi brother hujachoka tu!??[emoji1787][emoji1787]
Yani Bogus kabisaa... Acha Unafiki ishi maisha halisi sio kukaa nyuma ya Keybod unaandika Utumbo hapaa kujidai Unajua kushauri..!! Anza kushauri hao waliooa Dada zako na ndugu zako wa kike malaya as u said ambao waliamua kuanza uzinzi mapemaa... Hao wengine walikuwa wanakulea lea unaongea Utumbooo!! Next time jifunze kuongea maisha halisi sio hadithi za abunuasi.Una upeo ufinyu, itoshe tu kusema hivyo. Endelea kuoitia threads nyingine, hii imekuzidi kimo, bye.
Sikutegemea Kama Ni mkali kiasi hiki[emoji25]Unamjibumtu kadri anavyokujia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wewe huoni kosa lako bado au??? Kama vile ambavyo wewe hukuweza kuingilia ndoa za hao masingle mama wa kwenu bhasi hivyo ndivyo Wengine tunaheshimu maamuzi ya wengine na Kuacha kiherehere cha kujidai tunajua sana na kuanza kuingilia Mahusiano ya watu wengine. Kama single mama alikushinda wewe tulia mzee baba huna haja ya kuwachukia Wadada wengine waliopata ujau uzito wakiwa nyumbani na kuanza Kupreach kuwa ni Malaya na wazinzi ukasahau hata ukoo wenu wamejaa hao unaoona ni wazinzi. Kawahubirie Huo utumbo ndugu zako kwanza ndo uje kushupaza shingo hapa.Nini kimekukwaza mkuu? Badala ya kujadili hoja unajadili mtu. Wenye ufahamu wameelewa maana, kwani kauli kama hizi zinaleta signals fulani.
Maandiko ya Ukoo wenu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]1. Hapa siongelei "dhambi" bali jamii na maadili. Ukitaka niongelee dhambi, basi nimeshasema hilo linasameheka
lakini damage done.
2. Jamii za koafrika ambazo hazijastaarabika!! Nikushauri tu ujijengee utamaduni wa kufuatilia kinachoendelwa huko duniani. Kama unataka nikuwekee mabandiko ya maoni ya hao waliostaarabika kama hutotoa machozi. Kinachoendelea Afrika ni ulimbukeni na kudandia mila zisizotuhusu, tukijidanganya ndio ustaarabu. Bikira sio mitazamo ya kijamii, niuhalisia across the board!!
3. Maandiko yanasema anayepata madhara asiolewe
Una akili za Ovyoo sanaa... afadhali za bata[emoji23][emoji23][emoji23]Nionyeshe penye kumzalisha mtoto
Jamaa ni bwegr tu kujikuta anajua kushauri hapa huku anawatoa kasoro na kuwatukana wadada wa watu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Akati kwenye ukoo wake wamejaa kibao hajawai waambia hata kupitia Group la ukoo akwende huko Mtu mnafiki Muogope sana.Episode nyingine tunamuingiza rikiboy upande wenu anaingia brother Relief Mirzska..[emoji3][emoji3]
Hapa Moja kwa moja tushashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa ni bwegr tu kujikuta anajua kushauri hapa huku anawatoa kasoro na kuwatukana wadada wa watu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Akati kwenye ukoo wake wamejaa kibao hajawai waambia hata kupitia Group la ukoo akwende huko Mtu mnafiki Muogope sana.