Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mkuu unaandika vitu hatari sana

Tatizo watu ni wabishi sana, Hahahahaha!
 
Relief Mirzska brother...toa neno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilisema nitaandika kwa habari ya waliozaa kwenye ndoa(hawa sio single mom, ni wajane). Ngoja niiweke sasa hapa chini.
So ndoa imehalalisha uzinzi ndo maana unaona ambao hawajafunga ndoa ni Wazinzi hapo tu ndo kuna kosa ila mwanamke Akiolewa ukaachika unakuwa sio single mama... bhasi tuwaite single bibi maana sio wajane...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119]
 
Relief Mirzska brother...toa neno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa maneno ya jamaa Mwanamke akiolewa akiachika anafaa kuolewa kabisaa huyo Sio single mama hata kama ana watoto..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana alifunga ndoa. Na Hajui ndoa zenye misukosuko ni za aina hiyo ambapo wanaume waliowazalisha wanawake baada ya kufunga ndoa na kuachana nao wanakuwa bado wapo hai. Mwanamke ambae mwanaume aliemzalisha either kwa ndoa au bila ndoa alifariki, wengi wao huwaga hawana shida na ndoa zao mpya na wengine huamua kutulia wasiolewe kabisa.
 
Jamaa ni bwegr tu kujikuta anajua kushauri hapa huku anawatoa kasoro na kuwatukana wadada wa watu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Akati kwenye ukoo wake wamejaa kibao hajawai waambia hata kupitia Group la ukoo akwende huko Mtu mnafiki Muogope sana.
Ana shida mahali.
Kila Uzi umejaa kilio kuhusu wanawake.
Ukiona hivo ujue alishashikwa pabaya au ndoa yake haina furaha anakuja kupooza machungu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Inabdi tumuulize tuu...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ukoo wao una maandiko sio Biblia.
 
Ana shida mahali.
Kila Uzi umejaa kilio kuhusu wanawake.
Ukiona hivo ujue alishashikwa pabaya au ndoa yake haina furaha anakuja kupooza machungu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
100% Huyu kuna single mama kamnyoosha hasaa akaona aje kutuandikia magazeti humuu[emoji23][emoji23][emoji23] Inabdi aitishe seminar kabisa aelezee machungu yake.
 
Inabdi tumuulize tuu...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ukoo wao una maandiko sio Biblia.
Nilishamwambia kila mtu anajua anachotaka.
Watu hawaongozwi na hisia za maoni ya wachambuzi uchwara wa mahusiano huku mitandaoni.
Nikamuuliza yeye kila kitu kuhusu wanawake anakijua hiyo experience kaitoa wapi? Sikumbuki kama alinijibu zaidi ya kupanic.
Yaani amekariri maisha kisa yeye kafeli anachukua hiyo kama ndio sheria.
 
100% Huyu kuna single mama kamnyoosha hasaa akaona aje kutuandikia magazeti humuu[emoji23][emoji23][emoji23] Inabdi aitishe seminar kabisa aelezee machungu yake.
Tena alinyooshwa haswa.
Maana kila Uzi akifungua ni wanawake , wanawake. Single mother, single mother [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Halafu ukimlima fact, anapaniki na kumwaga maneno makali ya ajabu ajabu utadhani alichoandika ni sheria hakitakiwi kupigwa.
 
If you go back and check kwenye "likes" za post ile ya Heaven Sent utaikuta like yangu.

Sijaitoa bure bure. Me napenda wanawake ambao ni brain bro
Huyo mwanadada akiandika comment yake hata kama ulikuwa unabishana nae, unajikuta ubishi unauweka kando halafu unajifunza kitu kwanza kwenye hilo hilo bandiko lake.

Unaweza ukajikuta badala ya kuendeleza mabishano unakula lecture[emoji12][emoji12]

She's smart as hell... All hail to you mama HS bandiko lako nimelielewa sana.
 
Haipo hivyo kabisaaaa... Yani kinachokupata wewe ni maisha yako Usibebe hiyo sumu ukaenda kuwajaza wengine! Pambana na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona unajazia nyama.
Muacheni Kaka apumzike..hii mechi haikuwa ndogo jamani
 
Wanajamvi watanisaidia labda kama nina shida kwenye uelewa wangu au la
Yawezekana kabisa
...... tunachojadili ni hii mada. lakini upande wangu siafikiani asilimia zote na mtoa mada mosi, kuwa single mothers wote wana matatizo waingiapo kwenye ndoa zao
Sio wote wana matatizo ndio but mind you in statistics a representative sampling suffices
na akichagiza wanaume wasithubutu kuwaoa. tena anaenda mbali zaidi akisema wanawake wanaostahili kuolewa ni wale bikra tu
Na huo ndio ukweli, ukioa mwanamke asiyekuwa na bikra tu unahesabika umeoa mke wa mtu kiimani na hata kijamii pia sembuse single mother ambaye tayari ana muunganisho usiojificha wa usiofutika na bwana yake. Pia mleta mada hajazuia watu wasio single mothers bali alichofanya ni kama kutoa taadhari hivyo utaamua mwenyewe kama ushauri wake unafaa au haufai Sasa huu mtazamo wako hapa sio mahala peke ungesubiri au ungetafuta mada inayo fit na huo mtazamo wako ukachangia ingeleta maana, ukiuleta hapa kwenye mada hii utakuwa unafanya contextual derailment. Ukilazimisha kuuleta hapa sana sana tutakuona wewe ni single mothers sympathizer na unajaribu kufanya justification ya maovu yao na huna lingine Nafikiri kwenye mjadala kama huu hapakuwa na umuhimu wa kuleta blah..blah za ulinganisho na zinginezo, ulichopaswa kufanya hapa ni kuchangia mada bila kutoka nje ya mantiki ya mada yenyewe, habari za kuuhusishanisha hii mada na nyingine ambayo hazipo hapa ni dalili za kutokuwa na hoja yenye mashiko yaliyo sawia na mada husika, mbona kuna walipigana na hii mada bila kutoka nje ya mantiki kabisa, wewe una kwama wapi?
Sasa wewe mkuu unaweza kunifunza ni namna gani ya kujadili mada mbalimbali tukianzia na hizi za jukwaa hili. Sijawahi kuacha kujifunza mkuu.
Dude hapa hatuko jukwaa la elimu wala la lugha, halafu sioni kama lengo lako ilikuwa ni kuja hapa hili ufundishwe namna ya kujadili mada. Hii haiwezi kuwa serious hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…