Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Halafu mbona haujibu maswali unasema tu nikuache?

Kwa hiyo unanitisha na emails 76!?[emoji1787][emoji1787]
Sio nakutisha dogo, I was just telling you I dont have time for this.

You wanna learn, then learn. If you don't wanna learn now then wait you will learn it the hard way!
 
Kwanini wewe ndiyo ujiweke kwenye kundi la watoa ukweli tu na wengine uwaweke kwenye kundi la watoa uongo tu?? Kwamba wewe ndiyo unajua sana na una akili sana kuliko hawa wote waliokupinga yaani kwamba wewe ndiyo unaujua sana ukweli kuliko watu wengine wote??
[emoji28] nadhanikuna watu wakikutana na mimi watanimeza. Mwanadamu kiasili hayuko tayari kusikia ukweli
 
Hicho kizazi cha nyoka kina wanawake tu hakina wanaume?? Na kama wapo mbona hamuwaongelei??
Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
 
Wewe ndio mnafiki mkubwa, unajipendekeza kwa wadada kwa kuukwepa ukweli, huo ndio unafiki. Effeminist
Kwahiyo mwanaume asiongee ukweli kisa ataambiwa anajipendekeza kwa wadada sasa kati ya yeye anayejipendekeza kwa wadada na wewe unayewaogopa wanaume wenzio nani ana afadhali?? Halafu this guy haujamfuatilia tu huwa hayuko upande wetu fuatilia mada zake nyingi karibu kila siku huwa anatuponda na hata mimi nilishawahi kubishana naye kuhusu haya maswala lakini hapa kaona aseme tu ukweli kaka wa watu wewe acha unafiki ongea ukweli unawaogopa hadi wanaume wenzio jamani kwani walikufanya nini eti??
 
Wapi nimeongelea dhambi? Uko negative ndio maana umejenga picha akili mwako ambayo wala haipo hapa.
 
Kama Nyenyere kashaelewa basi... He was our target. Ataelimisha wengine.

Nina hakika tumemtoa tongotongo na atakua mtu mwema lakini hasahasa kuheshimu wanawake...kusaidia wasichana walio katika mazingira magumu na kutetea haki zao.
 
Aiseee[emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Brother nyenyere kweli unakubaliana na haya!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…