Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwani tukijadili visababishi vya single mothers tunakuwa tumetoka nje ya mada??Kwa hiyo tuache kwanza hii mada halafu tujadili kwanza visababishi vya single mother ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tukijadili visababishi vya single mothers tunakuwa tumetoka nje ya mada??Kwa hiyo tuache kwanza hii mada halafu tujadili kwanza visababishi vya single mother ama?
Duuh ilo jambazi kweli kwa hyo maji ya sabuni yakiingia kwa papuchino inatoka
Lizarazu Alikuwa Na wenge la usingizi alipokuwa akiandika hayo.Jibu lake unalijua ila jeuri tu
Nikuoneshe threads zinazoongelea hilo la visababishi vya single mother?
Kwanza bikra ni sehemu ya mada isome vizuri.
Sio nakutisha dogo, I was just telling you I dont have time for this.Halafu mbona haujibu maswali unasema tu nikuache?
Kwa hiyo unanitisha na emails 76!?[emoji1787][emoji1787]
Sasa hizo za Nini!?
Nina wasiwasi umetupia vyombo[emoji14][emoji23][emoji23]
Sina mda na watookama wewe, wanau walioharibika akili. Mnafiki unayejipendekeza for nothing. Bye
Kwani male feminists siyo wanaume?? Shame on you!!Hizi ni mada za wanaume, sio male feminists
Kwa hiyo brother unataka nisome kwa namna ngumu!??Sio nakutisha dogo, I was just telling you I dont have time for this.
You wanna learn, then learn. If you don't wanna learn now then wait you will learn it the hard way!
[emoji28] nadhanikuna watu wakikutana na mimi watanimeza. Mwanadamu kiasili hayuko tayari kusikia ukweli
Alikula vyombo huyu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
Basi farijianeni kwa maneno haya
Kwahiyo mwanaume asiongee ukweli kisa ataambiwa anajipendekeza kwa wadada sasa kati ya yeye anayejipendekeza kwa wadada na wewe unayewaogopa wanaume wenzio nani ana afadhali?? Halafu this guy haujamfuatilia tu huwa hayuko upande wetu fuatilia mada zake nyingi karibu kila siku huwa anatuponda na hata mimi nilishawahi kubishana naye kuhusu haya maswala lakini hapa kaona aseme tu ukweli kaka wa watu wewe acha unafiki ongea ukweli unawaogopa hadi wanaume wenzio jamani kwani walikufanya nini eti??Wewe ndio mnafiki mkubwa, unajipendekeza kwa wadada kwa kuukwepa ukweli, huo ndio unafiki. Effeminist
KabisaYani ni Hovyoo.. Hovyooo... Mtazamo finyuu..
Ana tatizo kubwa. Anahitaji msaada.
Wapi nimeongelea dhambi? Uko negative ndio maana umejenga picha akili mwako ambayo wala haipo hapa.Kweli wewe ni Mlevi mmoja.. Nenda kaangalie profile yangu ina likes ngapi angalia na yako[emoji23][emoji23] Kijana acha ulevi hapa tunaelimishana kuacha Mitazamo Hasi juu masingle mother kosa la mwanamke na mwanaume lakini mzigo wote wa dhambi anabebeshwa mwanamke hizo zama za Kuwakandamiza wanawake zimepitwa..!! Usikute kwenye familia yenu pia Kuna single mother.
Aiseee[emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]Kwahiyo mwanaume asiongee ukweli kisa ataambiwa anajipendekeza kwa wadada sasa kati ya yeye anayejipendekeza kwa wadada na wewe unayewaogopa wanaume wenzio nani ana afadhali?? Halafu this guy haujamfuatilia tu huwa hayuko upande wetu fuatilia mada zake nyingi karibu kila siku huwa anatuponda na hata mimi nilishawahi kubishana naye kuhusu haya maswala lakini hapa kaona aseme tu ukweli kaka wa watu wewe acha unafiki ongea ukweli unawaogopa hadi wanaume wenzio jamani kwani walikufanya nini eti??