Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Basi sawa njoo pm tuelewane
 
Hivi unadhani mlipoambiwa muishi na wanawake kwa akili mlikuwa mnataniwa eenh?? Anha endeleeni kujifanya vidume mnawajua sana wanawake kuliko aliyewaumba!!
 
Dah ...
Too sad[emoji25]
Wanawake tunapitia mengi.
 
Kwahiyo mwanaume kuzalisha bila ndoa siyo dhambi?? Na kama ni dhambi kwanini hauikemei wakati umesema wewe unakemea dhambi??
 
Achaa upuuzi wewe Biblia yenyewe Imekiri juu ya Dhambi ya uasherati kwamba unataka kusema Mwanamke tu akiwa mzinzi ndo anaweza kuachwa ila Mwanamke hawezi kumuacha mwanaume muasherati???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaliongelea kwenye comments?? Kama kweli una lengo wa kukemea na maovu ya wanaume kwanini usiyaanzishe nyuzi kula siku unaanzishia maovu ya wanawake unataka watu wakuelewaje??
Nimeshasema, wote waache zinaa, chastity ndio muhimu. Nimeliongelea uko nyuma
 
Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
Kama umeoa na ndoa yako ina furaha nitatembea uchi Tz nzima.
Wewe jifunue jiweke wazi ili tujue ni mtu wa namna gani wewe uliyetumia theories mitandaoni kuoa na sasa unateseka.
Tutakushauri utapona tuu hiyo chuki ulionayo kwetu wanawake.
 
Achaa upuuzi wewe Biblia yenyewe Imekiri juu ya Dhambi ya uasherati kwamba unataka kusema Mwanamke tu akiwa mzinzi ndo anaweza kuachwa ila Mwanamke hawezi kumuacha mwanaume muasherati???[emoji23][emoji23][emoji23]
Leta Andiko ndugu maana unaonekana unayajua ili tuchambue wote.
 
Dah ...
Too sad[emoji25]
Wanawake tunapitia mengi.
Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.
 
Makosa ni ya wote,lakini mwanmke ana disadvantage kubwa, kubali ama kataa huo ndio ukweli. Inachukua juhudi za mkuu wa mkoa kujaribu kuwafariji wamama wakati waliowazalia wannadunda mitaani. Tatizo ndio liko hapo usipofanya chastity
Hivi kwani huyo mkuu wa mkoa kaingiaje hapa maana naona umemkazania sana hata huyo naye ni mnafiki kama wewe tu hamna tofauti

Sasa mbona biblia haijasema hivyo kwamba mwanamke ndiyo aache zinaa kwa sababu yeye ndiye mwenyewe disadvantage?? Na kama haujaandika kibiblia umeandika kijamii basi hizo disadvantages za wanawake wewe zinakuumiza nini??
 
Afu jiulize kwa nini mkuu wa mkoa ameshikilia kuwasaidia wamama waliozalishwa wakatelekezwa na sio wanaume
Nimekwambia huyo naye ni mnafiki kama wanafiki wengine tu ukiwemo na wewe na hata kama na mimi ningekuwa single mother nisingeenda kuandamana kwenye huo ujinga na wewe kwa akili yako unadhani yule anafanya vile ili kuwasaidia wale wanawake?? Pole!!
 
Pozi la nini Singo Maza!
Mleta mada kaandika kipimo chake nawe kanusha au weka mapocho pocho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…