Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sasa kafir mimi au nyinyi ? Ulitakiwa kusema hivi "Hajichanganyi na waislamu".

Ila tamko "Kafir" ni maalumu kwa wasio kuwa Waislamu.

Tuendelee ....
Unajua kafir Ni Nani!?
Ngoja nikupe maandiko
 
Sasa mbona wanaume wengi humu ndiyo tabia yenu pale tunapowapinga mnayoyasema mnaanza kutuita malaya sijui makahaba mara femimists na activists na maneno mengine kibao kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu enh??
 
Mmeanza masuala ya Ukafiri tena[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Nilikuwa namuelekeza bibie huko,ila hili limaisha,akiliendeleza najua pakumshika,ila hapa limeisha.
 
Kama wewe ni wa kiume, mama yako akiona maoni yako haya atafurahi sana, lakini baba yako akiona hiki kitu umeandika, atangiwa simanzi. Irresponsible individuals wapo kila kona, ulimwengu mzima, je ni jukumu la nani kuwaepuka?

Little Boy Riki, hawa wanaokufanya uwe emotional leo kiasi unalose focus kama mwanaume zamani kabla hawajaitwa Single Mothers waliitwa MASISTA DUU na hao waliowazalisha na kuwatelekeza au wakashindwana si wanaume, ni MABROO YOO and the likes. Irresponsible is a girl who despite seeing other older girls suffering from fantasy will opt to fall under the same ditch expecting the community to feel sorry for her.

Nitakupa mfano, japo sipendi kuyajadili maisha ya watu wengine lkn kama wanaishi na sisi, hatuwezi kusema hatuwaoni. Unamuona mwanamuziki Diamond na namna ya tabia zake za kimahusiano, leo yupo na mwanamke huyu, kesho kamuacha, kesho kampa mimba huyu, kesho kutwa kamuacha. Nijibu kama mtu mwenye akili timamu, yupi anakushangaza zaidi kati ya Diamond na wanawake wanaoanza naye mahusiano hali wakijua hivyo ndivyo alivyo?
 
Basi kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake wanaume waache kutongoza wanawake kama hawana malengo ya kuoa na vile vile wanawake waache kukubalia wanaume kama hawana malengo ya kuolewa kila jinsia ina uwezo wa kujitunza kwa nafasi yake

Wewe nimegundua kuna kitu unataka kukisema ila sijui unaogopa utashambuliwa wewe kiseme tu sema tu kwamba kwa wanaume itakuwa ni ngumu kuacha kutongoza (kwa sababu wao ni binadamu) ila kwa wanawake itakuwa ni rahisi kukataa vishawishi (kwa sababu wao ni malaika)
 
Nipe andiko linalosema nyie sio makafir

Soma hapa,kisha tujikite kwenye mada.

Anasema Allah aliye juu :

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )

Tusinajisi uzi wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…