Kaone[emoji28][emoji28][emoji28].Sana.
Hadi unatia huruma.
Enzi za lile jina,sijaona Hadi Sasa ambaye angeweza kukufikia kwa mtanange
Tunavua pasi na sababu!?
Hivi msingekuwa nyie,sisi tungevua?
Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.Soma hapa,kisha tujikite kwenye mada.
Anasema Allah aliye juu :
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )
Tusinajisi uzi wa watu.
Swala la kwamba mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa halibadilishi ukweli kwamba makosa ya kuzaa bila ndoa ni ya wote wanaume na wanawake
Na mimi ngoja nijibu halafu ndio ulete habari za kunajisi uzi wa NyenyereSoma hapa,kisha tujikite kwenye mada.
Anasema Allah aliye juu :
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )
Tusinajisi uzi wa watu.
Sasa unanielewesha vipi wakati hujui mipaka ya tamko "Kafiri" zaidi ya kulisikia ? Itanielewesha vipi kwa tamko usilolijua ? Haya maajabu na kwa upande wa pili ni kituko pia.Na Mimi mbona nilikuwa nakuelewesha hapo uliposema nyinyi sio makafir
Hapa kwenye majukumu sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kaone[emoji28][emoji28][emoji28].
Nimeokoka siku hizi nampenda Yesu.
Na majukumu pia mengi kidogo.
Na nyie Kwanini mje kutuomba!?Hizo sababu ndio nazizungumzia mimi,kwani zikiwepo sababu ndio mvue ?
Kuweni wajanja na akili timamu,tatizo huwa mnapeleka mbele mapenzi pasi na elimu,kuliko elimu kwanza.
Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.
Kwani kuombwa maana yake ni KUPEWA ?Na nyie Kwanini mje kutuomba!?
Halafu tukiwapa mnatunyoshea vidole.
Acheni unafiki na tabia chafu
Ndg muelewe mleta madaNina mbwa wangu ambaye umemzidi umri ila ana busara na akili kukuzidi wewe. Rudia bandiko lako mstari kwa mstari kisha mpe mtu unayedhani umemzidi maarifa asipokuambia ulichoandika ni kampeni ya kutaka wanawake ambao wana watoto wasiolewe tena. Imagine mtu ni single mother simply kwa kuwa alibakwa ama mimba za utotoni then akutane na kampeni yako hii mshuuuu...pambaffff
Nilishampa andiko.Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.
Unasemaje ?!Dada ukikaukwa na koo pm no yako ya simu nikutumie muamala mambo yakae sawa, hawa viumbe wagumu sana kuwaeleza.
Hakuna neno mbadala..haiwezekani,sababu hapo aliyekuwa anaambiwa ni Mnaswara,sasa kama mkristo ana neno mbadala alitumie ila sio neno Kafiri.
Naweka kiporo hapa.
Tujikite kwenye mada warembo wazuri wazuri.
Kwa hiyo tunaanza kudhibiti wezi kwanza ndio tunatunza mali au tunatunza mali huku tukidhibiti wezi? Mnakosa maarifa madogo tu, itoshe kusema basi acheni milango wazi kwa sababu tutadhibiti wezi. Jiwekeni kikahaba kwa sababu tutadhibiti wanaume wasiwatongoze
Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?haiwezekani,sababu hapo aliyekuwa anaambiwa ni Mnaswara,sasa kama mkristo ana neno mbadala alitumie ila sio neno Kafiri.
Naweka kiporo hapa.
Tujikite kwenye mada warembo wazuri wazuri.
Nyinyi YESU kwenu nae si Mungu ?Nilishampa andiko.
Tena kumbe kwa mujibu wa maandiko Yao hawamuabudu Mungu wetu aliye hai...Wana Mungu wao, Mungu wa yule jamaa aliyewaingiza mkenge.
Hili sikulijua mwanzo
Zurri Asante umenijulisha hili
Si pake kivipi!?Sasa unanielewesha vipi wakati hujui mipaka ya tamko "Kafiri" zaidi ya kulisikia ? Itanielewesha vipi kwa tamko usilolijua ? Haya maajabu na kwa upande wa pili ni kituko pia.
Tamko "Ukafiri" uliliweka mahala ambapo si pake.
Unadhani Biblia anaijua Sasa!?Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?
Sasa mbona vitu vipo wazi. Unaruhusiwa kumuacha mke kwa kosa la uasherati na ikitokea mmeachana marufuku kuoa maana utakuwa unazini. Kwahiyo bado ni sahii kuoa mjane kwasababu hati ya kiapo hakipo na sio kuoa mke wa mtu alieachikaHii ni mathayo 19:9View attachment 1204164