Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tunavua pasi na sababu!?
Hivi msingekuwa nyie,sisi tungevua?

Hizo sababu ndio nazizungumzia mimi,kwani zikiwepo sababu ndio mvue ?

Kuweni wajanja na akili timamu,tatizo huwa mnapeleka mbele mapenzi pasi na elimu,kuliko elimu kwanza.
 
Soma hapa,kisha tujikite kwenye mada.

Anasema Allah aliye juu :

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )

Tusinajisi uzi wa watu.
Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.
 
Dada ukikaukwa na koo pm no yako ya simu nikutumie muamala mambo yakae sawa, hawa viumbe wagumu sana kuwaeleza.
Swala la kwamba mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa halibadilishi ukweli kwamba makosa ya kuzaa bila ndoa ni ya wote wanaume na wanawake
 
Soma hapa,kisha tujikite kwenye mada.

Anasema Allah aliye juu :

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )

Tusinajisi uzi wa watu.
Na mimi ngoja nijibu halafu ndio ulete habari za kunajisi uzi wa Nyenyere
Yud1:4b
Makafiri,wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi,nao humkana yeye aliye peke yake mola,na Bwana wetu Yesu kristo.
 
Na Mimi mbona nilikuwa nakuelewesha hapo uliposema nyinyi sio makafir
Sasa unanielewesha vipi wakati hujui mipaka ya tamko "Kafiri" zaidi ya kulisikia ? Itanielewesha vipi kwa tamko usilolijua ? Haya maajabu na kwa upande wa pili ni kituko pia.

Tamko "Ukafiri" uliliweka mahala ambapo si pake.
 
Kaone[emoji28][emoji28][emoji28].
Nimeokoka siku hizi nampenda Yesu.
Na majukumu pia mengi kidogo.
Hapa kwenye majukumu sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Aisee umeokoka,,,kumbe tutakuwa pamoja na Yesu mbinguni
 
Hizo sababu ndio nazizungumzia mimi,kwani zikiwepo sababu ndio mvue ?

Kuweni wajanja na akili timamu,tatizo huwa mnapeleka mbele mapenzi pasi na elimu,kuliko elimu kwanza.
Na nyie Kwanini mje kutuomba!?
Halafu tukiwapa mnatunyoshea vidole.
Acheni unafiki na tabia chafu
 
Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.

haiwezekani,sababu hapo aliyekuwa anaambiwa ni Mnaswara,sasa kama mkristo ana neno mbadala alitumie ila sio neno Kafiri.

Naweka kiporo hapa.

Tujikite kwenye mada warembo wazuri wazuri.
 
Na nyie Kwanini mje kutuomba!?
Halafu tukiwapa mnatunyoshea vidole.
Acheni unafiki na tabia chafu
Kwani kuombwa maana yake ni KUPEWA ?

Tatizo nyinyi ni wa Mazwazwa isipokuwa wanawake wachache sana wenye kujitambua.
 
Nina mbwa wangu ambaye umemzidi umri ila ana busara na akili kukuzidi wewe. Rudia bandiko lako mstari kwa mstari kisha mpe mtu unayedhani umemzidi maarifa asipokuambia ulichoandika ni kampeni ya kutaka wanawake ambao wana watoto wasiolewe tena. Imagine mtu ni single mother simply kwa kuwa alibakwa ama mimba za utotoni then akutane na kampeni yako hii mshuuuu...pambaffff
Ndg muelewe mleta mada
Nenda kwenye kituo kikubwa cha polisi Wilayani kwako kaulize toka mwaka huu uingie kuna matukio mangapi ya ubakaji.?
Tusilete hoja ya ubakaji kama kificho cha matendo mabaya ya binti na dada zetu.
 
Nilichoelewa kwenye point 2-6 ni kwamba hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa mkristo.
Nilishampa andiko.
Tena kumbe kwa mujibu wa maandiko Yao hawamuabudu Mungu wetu aliye hai...Wana Mungu wao, Mungu wa yule jamaa aliyewaingiza mkenge.
Hili sikulijua mwanzo
Zurri Asante umenijulisha hili
 
haiwezekani,sababu hapo aliyekuwa anaambiwa ni Mnaswara,sasa kama mkristo ana neno mbadala alitumie ila sio neno Kafiri.

Naweka kiporo hapa.

Tujikite kwenye mada warembo wazuri wazuri.
Hakuna neno mbadala..
Ni kafiri hilohilo..mlicopy kwetu
 
Poor Mind
Kwa hiyo tunaanza kudhibiti wezi kwanza ndio tunatunza mali au tunatunza mali huku tukidhibiti wezi? Mnakosa maarifa madogo tu, itoshe kusema basi acheni milango wazi kwa sababu tutadhibiti wezi. Jiwekeni kikahaba kwa sababu tutadhibiti wanaume wasiwatongoze
 
haiwezekani,sababu hapo aliyekuwa anaambiwa ni Mnaswara,sasa kama mkristo ana neno mbadala alitumie ila sio neno Kafiri.

Naweka kiporo hapa.

Tujikite kwenye mada warembo wazuri wazuri.
Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?
 
Sasa unanielewesha vipi wakati hujui mipaka ya tamko "Kafiri" zaidi ya kulisikia ? Itanielewesha vipi kwa tamko usilolijua ? Haya maajabu na kwa upande wa pili ni kituko pia.

Tamko "Ukafiri" uliliweka mahala ambapo si pake.
Si pake kivipi!?
Nimekupa andiko
 
Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?
Unadhani Biblia anaijua Sasa!?
Halafu yule jamaa aliwapa hili neno ila hakuwaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu
 
Back
Top Bottom