Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Niko makini timu isishindwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmekusanya nguvu vema..mmeanza kwa Kasi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona watu wanamwaga mapovu aise yaani mtu anataka alinganishe maisha yangu ya uwanjani na maisha yangu ya nyumbani yaani eti kwa sababu imetokea wakati tunacheza mpira bahati mbaya nimempiga mtama basi anadhani mimi ndivyo nilivyo

Kwamba nina roho mbaya na ninapenda kuonea watu ungekuwa unawajua wacheza mpira kwa sura na majina ningekutajia list ya wacheza mpira wanaochukiwa kwa vitendo vyao vya uwanjani wakidhaniwa kuwa ndivyo walivyo hata nyumbani kumbe sivyo
 
si wote lakini wanawake walioza na wanaume wengine kabla ya ndoa ni tatizo. kama hamna ulazima mwoe mwanamke asiye na mtoto. Wanawake wenye watoto wao kabla ya kuolewa wengi wana matatizo tena makubwa sana. kwanza huyo mtoto atafanya anavyotaka na wewe hutamgusa, pili mawasiliano kati ya mke wako na huyo mwenye mtoto hayatakoma, tatu asipokuwa makini ataendelea kuwa naye kimahusiano. yule mzazi mwenzake.
 


Hapa nakiri wazi huijui Biblia inabidi ukasome upya.

Bibie naomba ushahidi wa Yesu kutumia Biblia katika masinagogi ?

Andiko tafadhali,maana naona mnaandika kama story zenu za saluni.

Tuendelee ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wangekuwa wacheza mpira wangekuwa walishalimwa redcard..
Maana ingekuwa ukiwachenga tu kidogo wanakutia magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oohh wow hiyo reliable source yako nimeikubali maana humu JF hakuna mtu nimewahi kumpa namba yangu wala hakuna mtu anayenijua humu so nalazimika kusema kwamba kwanza kabisa you are wrong about me

Nilikuwa nasubiria hili jibu.
Reliable source za jf ni hatari.
 
Hivi Kati ya sisi na nyie,Ni Nani ametangulia kulitumia hili neno!??
Tumechukua kimakosa!?
Huyu jamaa ndio aliwadanganya hivyo!???
Sasa si ndio hayo nimekwambia mnabadili kweli ya kristo.
Bibie natumia Kiswahili chepesi sana.

Nimekwambia neno Kafiri ni neno la Kiarabu,halafu unaniuliza tena nani ameanza kulitumia ? Jibu wameanza kutumia Waarabu ambao Uislamu ulishuka kwao.
 
Poor mind, your level of stupidity has rendered me speechless.
 
Hapa umeona nahubiri? Soma mada halafu urudi tena
 
Bibie naongelea Kanisa,siongelei Church jifunze kutofautisha maneno,na uwe makini.

Ndio maana nawashangaa,inakuwake jambo hamlijui lakini mnalizingumzia ?

Mlianza kusema ya kuwa mtume wetu amecopy,nikawa nawaonyesha ya kuwa haja copy,ndio nikawaleta katika asili ya maneno. Biblia yenu ya Kiswahili imechukua maneno mengi ya Kiarabu,na hili ni kwa sababu imetumia Kiswahili.

Sasa mnaposema amecopy wakati maneno mnayotumia ni maneno ya kiarabu,hapa mnaonyesha ni kwa namna gani mnakuruuka na hamjui nini mnachokiandika.
 
Hapa nakiri wazi huijui Biblia inabidi ukasome upya.

Bibie naomba ushahidi wa Yesu kutumia Biblia katika masinagogi ?

Andiko tafadhali,maana naona mnaandika kama story zenu za saluni.

Tuendelee ....
Luke 4:16-18
 
Sasa mbona vitu vipo wazi. Unaruhusiwa kumuacha mke kwa kosa la uasherati na ikitokea mmeachana marufuku kuoa maana utakuwa unazini. Kwahiyo bado ni sahii kuoa mjane kwasababu hati ya kiapo hakipo na sio kuoa mke wa mtu alieachika
Ila wewe ukiwa muasherati asikuache???[emoji23][emoji23][emoji23]Wapi wamesema mkiachana kwa dhambi ya Uasherati huruhusiwi kuolewa tena...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
You have no time for this but you have time to follow up and know what kind of person Marianah is, I see.
Sio nakutisha dogo, I was just telling you I dont have time for this.

You wanna learn, then learn. If you don't wanna learn now then wait you will learn it the hard way!
 
Ewe Mtawadhaji umefika na huku pia?
 
Pole sana mkuu kwa kisa hiki cha kuumiza. Lakini naomba niruhusu nikutupie lawama wazazi na ndugu wa karibu wa binti huyu. Inakuwaje mtunakuja kuleta posa mpaka mnaandaa send off hamjajua tabia yake? Mbona ndoa ni mchakato unaohusisha wadau wengi sana?
 
Naona hutaki kunielewa.
Basi endelea kubaki hivyohivyo
Bibie natumia Kiswahili chepesi sana.

Nimekwambia neno Kafiri ni neno la Kiarabu,halafu unaniuliza tena nani ameanza kulitumia ? Jibu wameanza kutumia Waarabu ambao Uislamu ulishuka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…