Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwahiyo Diamond kuwa vile alivyo ni sawa ila hao wanawake kuwa vile walivyo ndiyo siyo sawa?? Yaani unachojaribu kusema ni kwamba wanaume kukataa watoto wao ni haki yao na hawatakiwi kukemewa ila wanawake kuachwa na watoto ndiyo wanakosea wanatakiwa kukemewa??
 
Ndio zao hizo.. .!

Hahahaha,
 
Uzinzi na uasherati ni misamiati isiyo na dini. Ni kiswahili sanifu hicho
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hebu kwanza nipe ushahidi kwamba Qur'an ilishushwa kutoka mbinguni.

Anasema Allah aliye juu :

1. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
2. Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
4. Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
5. Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. (al Qadr : 1 - 5)
 
Mada ni single mother sio nje ya hap9
 
I see kwanini hizo nguvu msizielekeze kwa wanaume wanaowaomba wanawake wawavulie chupi??
Hizo sababu ndio nazizungumzia mimi,kwani zikiwepo sababu ndio mvue ?

Kuweni wajanja na akili timamu,tatizo huwa mnapeleka mbele mapenzi pasi na elimu,kuliko elimu kwanza.
 
Hahahaha...hilo swali si la kitoto Sheikh

Yaani Mola akataza Pombe kwakuwa ni HARAM...lakini kule Peponi ni HALAL

Ni Mola gani kilaza namna hiyo?
 
Kwahiyo sasahv Mudy anagonga zake Wine huko Peponi.

Si ndio?
 
Kwanza Allah ndio nini/ nani?

Wenzako huwa wanabwabwaja na kukimbia hilo swali ama watoe majibu ya kizushi.
 
Wewe ulitubishia mwanzo kwamba kafiri linatumika na waislam kwa watu wasioamini. Hivo sisi wakristo hatupaswi kutumia hilo neno tutafute letu.
Ndio hivyo,kuwapo sio kwamba wao wanatumia,ndio maana nimekwambia hili ni tamko maalumu na ni tamko la kisheria.
Ndio tukakwambia kabla ya uislam neno kafiri lilishatumika na kama unavyojua Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia usichoelewa ni kipi?
Nikawauliza lilitumika wapi ? Ukasema mtume amecopy kutoka kwenye Biblia,nikauliza amecopy vipi ? Mpaka muda huu hamjajibu swali hilo.

Niaendelea kwa kusema hivi vipi acopy tamko ambalo ni lao kiasili ? Na lugha ya Biblia ya asili inajulikana sio Kiarabu ?

Bibie nimekuuliza swali hili mara kibao,onyesha ilichakachuliwaje ? Sasa ukisema tu bila kuweka ushahidi wewe ni muongo. Sasa nakupa miaka kumi ulete ushahidi kwamba Qur'aan imechakachuliwa toka kwenye Biblia.
 
Kwahiyo wanaume wanaoomba siyo mazwazwa?? Yaani maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote lakini eti mwanaume akiomba kwa lengo hilo ni sawa ila mwanamke akikubali kwa lengo hilo hilo ni kosa si ndiyo??

Zurri unaniangusha, yaani nilitegemea hapa utakuja na hoja zako zile kuntu ila naona unayumba basi wewe bora ubaki kwenye dini tu ambako nako kuna sehemu unashindwa kuyatumia maandiko yenu vizuri.
Kwani kuombwa maana yake ni KUPEWA ?

Tatizo nyinyi ni wa Mazwazwa isipokuwa wanawake wachache sana wenye kujitambua.
 

"Hakika sisi tumeiteremsha Qur'an"
Haya maneno ndio ameyasema Allah ? Na hiyo "sisi" ni wakina nani?
Bado sijaona neno kutoka mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…