Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Aahh wangetolewa kitambo sana
 
Amecopy akapata kitu cha kuandika kwenye Qur'an yenu.
Asingeliona kwenye biblia huko kwenye Qur'an yenu asingekumbuka kuliweka.
Bibie acha sasa utoto,hapa hatupigi stori za vijiweni,tunazungumzia mambo ambayo yameshaandikwa na yapo.

Sasa unaposema amecopy bila kuonyesha amecopy vipi,ndio utuwekee ushahidi. Kama huna ushahidi sio lazima uulete leo,nimekupa miaka kumi ya kutafuta ushahidi huo,ila kulalamika na kupoteza muda.

Weka ushahidi.
 
Hakuna swali ambalo sijajibu.
 
"Sisi" ni mtu zaidi ya mmoja.
Na MUNGU ni mmoja.
Kama ilishushwa na akina "sisi" maana yake si MUNGU na haijatoka mbinguni pia.
Huu ni ufasaha tu wa lugha,na hutumika mtindo huu wa lugha kuweka hadhi na kutofautisha yule anayezungumza,mfano huu upo hata katika Kiswahili.

Mfano nikisema "Nguo hii huvaa watu kama sisi tu". Hapa anae zungumza ni mmoja na anajikusudia yeye ili kuonyesha ya kuwa kile alichokivaa kina hadhi kubwa sana ya kuvaa yeye peke yake.

Mtindo huu wa lugha au uwasilishaji upo sana pia katika lugha ya Kiarabu,kwahiyo hiyo sio hoja bali ni wasi wasi tu.
 
Yaani acha tu na haya mambo ya reliable sources nilishayajua tangu wakati najiunga JF hivyo sijataka watu wanijue maana kuna watu wanatumana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siyo mara ya kwanza kusikia fulani kamjua fulani kupitia reliable source aliyoituma ambaye mara nyingi anakuwa ni member wa humu humu sasa sijui watamkamata nani hapa

Hata hivyo nashindwa kuelewa yaani mtu anifuatilie eti kwa sababu ya michango yangu ya humu ambamo tunatumia fake identities and probably tunaonesha fake personalities?? Ndiyo maana nikasema I wish I had that much time to waste to stalk on people I don't know ila kuna watu wanajikuta majasusi humu wakati majasusi tupo tumetulia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema sisi tunafuatilia mambo ya msingi siyo huu ujinga wa humu!!
Nilikuwa nasubiria hili jibu.
Reliable source za jf ni hatari.
 
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Annoint Amani mama sukuma mtoto atoke Official Video sms SKIZA 9048515 to 811.mp4
    18.1 MB
Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.

Bado haujanishawishi. MUNGU mmoja je "sisi " inatoka wapi? Msikaririshwe.
 
Bado umekwepa mzizi wa tatizo kwanini mwanaume akimbie mtoto??
 
Eeeh swali zuri sanaaa...WANAUME mpaka mtu umemjua tabia yake halisi hasa kwa wanawake jua ameshakutafunaa...!! Huwaga hutuwi really mpaka pale umeshapata unachokitaka hapo ndo makucha yanaanza ndo maana single mother hawaishi na kujua tabia ya mtu hakukufanyi wewe ujue Maovu yake kabisaa maana watu tunabehave tokana na mazingira so wadada wengi mpaka waje kujua tabia halisi na maisha halisi ya wanaume wanaodate nao ni TOO LATE SANA. Kuijua tabia halisi ya Mtu sio Jambo la mwezi never ukute hata wazazi wako hawajui tabia yako halisii hadi leo[emoji23][emoji23] wanakuja kusikia tu umetia mimba mtoto wa watu huko ukamtelekeza.
 
Kwahiyo wanaume wanaoomba siyo mazwazwa?? Yaani maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote lakini eti mwanaume akiomba kwa lengo hilo ni sawa ila mwanamke akikubali kwa lengo hilo hilo ni kosa si ndiyo??
Wao ni mazwazwa ila wewe utakae ombwa na kutoa ndio utaonekana zwazwa zaidi kwa kukubali kwako.

Kwa maana hiyo uzwauzwa unaonekana sana kwenu,kwa kukubali kushawishiwa.
 
Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.
Ndio utuonyeshe sasa hao wengine wako wapi.

Unatakiwa ujifunza kuandika vitu huku unatoa marejeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…