Hujitambui nafasi yako. Ni hali ya kawaida kwa vijana wa kileo
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1206304
Google "how to upgrade my comprehension" kisha baada hapo uje usome tena comment yangu.
Natamani kukuoa
Kabisa.Asante mkuu hiki ndicho nilichokuwa najaribu kukisema tangu mwanzo
Ila tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
Why should I doubt my comprehension just because of your stupid comment??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umeweka picha ya hao wanaume wanaojielewa kwenye huu ujinga??
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]
Wana lafudhi mbaya Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha yule msukuma niliyempata mimi alikuwa mtanashati na mchapakazi ila alikuwa akianza kuongea ile lafudhi yao nilikuwa nacheka tu hata kama kitu hakichekeshi
Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha yule msukuma niliyempata mimi alikuwa mtanashati na mchapakazi ila alikuwa akianza kuongea ile lafudhi yao nilikuwa nacheka tu hata kama kitu hakichekeshi
Tena tuko Romantic balaa ...Wana lafudhi mbaya Sana.
Bora hata ya kwetu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hapo sijui anakubembelezaje na gule gu lafudhi gwa kukandamiza kiswahili vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu
Mjifunze kuongea lafudhi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!!
So Ngosha ulimwacha kisa lafudhi yake?
Nna shemeji msukuma...ila nadhani hakukulia huko usukumani..Tena tuko Romantic balaa ...
Na wengine hiyo lafudhi wala hatuna. Msitunyanyapae bana. Siyo vizuri [emoji16]
Ningekuwa na namba yako ningekupigia sasa hivi ili usikie Kiswahili changu. Utafikiri unaongea na Mpemba.....Mjifunze kuongea lafudhi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mnakwama tu Hapo kwenye kuongea kiswahili kigumu.
Mengine yote mko vizuri..u HB [emoji7][emoji7],kuchapa kazi[emoji847][emoji847]
Huko kwingine ndiko kwa muhimu..[emoji3][emoji3]Ningekuwa na namba yako ningekupigia sasa hivi ili usikie Kiswahili changu. Utafikiri unaongea na Mpemba.....
Asante angalau kwa kutupa Kuddos huko kwingine ambako, kwa maoni yangu, nadhani ndiko kwa muhimu zaidi...
Wale ng'ombe sabini ndo tunafanyeje sasa?
Wana lafudhi mbaya Sana.
Bora hata ya kwetu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hapo sijui anakubembelezaje na gule gu lafudhi gwa kukandamiza kiswahili vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu
Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!!
So Ngosha ulimwacha kisa lafudhi yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani halafu hata huyu SHIMBA YA BUYENZE kila nikilisoma jina lake najikuta nalisoma kwa ile lafudhi yao ya kisukuma kwa sababu ni la kisukuma
mpumbavu wewe na mama akoBasi wewe ndiyo mpumbavu namba moja
Jamani unamuonea Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwanyanyapai jamani nawapenda sana wasukuma maana nasikia wanaume wa kisukuma mnajua kupenda kasoro Lizarazu na yule Rais wa nchi ya Buzilayombo tu na wanawake wa kisukuma wanajua kutii
Siwezi kuachana na mwanaume kwa sababu ya kijinga kama hiyo tuliachana kwa sababu nyingine tu infact mimi napenda sana mwanaume atakayenifanya nicheke mara zote na siyo nichukie