Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
kuna wanaotongoza na wanakataliwa,we ndo punguani kweliHivi unajua maana ya chanzo kweli??
Ni hivi anayetongoza ndiyo chanzo cha yote fullstop!!
mpumbavu wewe na mama ako
Once a baharia always a baharia
kuna wanaotongoza na wanakataliwa,we ndo punguani kweli
Once a baharia always a baharia
Jamaniiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani halafu hata huyu SHIMBA YA BUYENZE kila nikilisoma jina lake najikuta nalisoma kwa ile lafudhi yao ya kisukuma kwa sababu ni la kisukuma
Shangaa hata wewe, ila wao wakitongozwa na wanawake hawakatai hata kidogo hata wenye umri kama mama zao wamo tuSasa wewe unaniita 'tahira' kama nani?? Kwani ni wanaume wangapi hawatongozi hovyo?? Acha kuuliza maswali ya kipuuzi!! Hao wanawake kukataa haibadilishi ukweli kwamba wanaume ndiyo chanzo maana ninyi ndiyo mnatongoza ndiyo ujibu sasa swali nililokuuliza je mwanaume kutongoza ndiyo hana makosa ila mwanamke kukubali ndiyo ana makosa??
Yaani unakimbia balaa muda wakula dinner vipi.[emoji44] au wote au wapo marindo?Naona uzi unachanja mbuga tu.
Nawasalimu waungwana pamoja na watwana pia.
Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Ah wapi
Wewe na Lizarazu wako msikose kunialika kwenye harusi yenu. Ng'ombe 70 nimetoa unanisanifu tu fokasi yako yote kwa Lizarazu. Ulijulia wapi kuwa anajua kupenda?Jamani unamuonea Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku katika wote Lizarazu ndio anajua kupenda
Unataka tena kujaribu Msukuma au yule jamaa alikukifu? Ila wewe na uanaharakati huu hakuna Msukuma atakayekuweza aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Siwanyanyapai jamani nawapenda sana wasukuma maana nasikia wanaume wa kisukuma mnajua kupenda kasoro Lizarazu na yule Rais wa nchi ya Buzilayombo tu na wanawake wa kisukuma wanajua kutii
Siwezi kuachana na mwanaume kwa sababu ya kijinga kama hiyo tuliachana kwa sababu nyingine tu infact mimi napenda sana mwanaume atakayenifanya nicheke mara zote na siyo nichukie
Ni mtazamo wako, uhalisia hauko hivyo.Asante mkuu hiki ndicho nilichokuwa najaribu kukisema tangu mwanzo
Ila tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe na Lizarazu wako msikose kunialika kwenye harusi yenu. Ng'ombe 70 nimetoa unanisanifu tu fokasi yako yote kwa Lizarazu. Ulijulia wapi kuwa anajua kupenda?
Shangaa hata wewe, ila wao wakitongozwa na wanawake hawakatai hata kidogo hata wenye umri kama mama zao wamo tu
Nishakuambia una matatizo, you can't reason. Kila hoja unaichukulia personal na unatafuta kuonekana ni mjuvi was ubishi. So have your wayKwahiyo ili uonekane mwanaume ni lazima ukomalie maovu ya wanawake na kuyaacha ya wanaume wenzio??
Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nyie wasukuma si mnapenda ubabe kwenye kila kitu..yaani ubabe ubabe tuUnataka tena kujaribu Msukuma au yule jamaa alikukifu? Ila wewe na uanaharakati huu hakuna Msukuma atakayekuweza aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Unataka tena kujaribu Msukuma au yule jamaa alikukifu? Ila wewe na uanaharakati huu hakuna Msukuma atakayekuweza aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni mtazamo wako, uhalisia hauko hivyo.